RC Makonda kumuenzi mzee Mengi siku ya Ijumaa kwa kuwaandalia futari walemavu wa Jiji la Dsm

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,845
141,767
Ijumaa ijayo itakuwa ni siku ya kipekee kwa watu wenye ulemavu wanaoishi Dsm kwani mkuu wa mkoa mh Makonda ameandaa futari kwa ajili yao

Waandazi katika shughuli hiyo watakuwa ni wasanii maarufu na waandishi nguli wa habari.

Watu wenye ulemavu wanaalikwa bila kukosa kwani mkuu wa mkoa mh Makonda atafuturisha kama ishara ya kumuenzi mzee Mengi aliyekuwa ni rafiki mkubwa wa walemavu.

Chanzo: Clouds tv!
 
Hater's wa makonda
Nsajigwa%2020190528_205036.jpeg
 
Ijumaa ijayo itakuwa ni siku ya kipekee kwa watu wenye ulemavu wanaoishi Dsm kwani mkuu wa mkoa mh Makonda ameandaa futari kwa ajili yao

Waandazi katika shughuli hiyo watakuwa ni wasanii maarufu na waandishi nguli wa habari.
Watu wenye ulemavu wanaalikwa bila kukosa kwani mkuu wa mkoa mh Makonda atafuturisha kama ishara ya kumuenzi mzee Mengi aliyekuwa ni rafiki mkubwa wa walemavu.

Source Clouds tv!
Mwambieni kuwa hiyo anayoandaa ni Kalamu na si futar/iftar.
Mwambieni kumfuturisha mtu kunahitaji timing kuliko hata ya kumchinja Kobe.
Maana itabdi aingie masjd avizie muda ufike awape watu hicho alichokiandaa
 
Back
Top Bottom