Serikali ya mkoa wa DSM kujenga Mahakama za mwanzo zipatazo 20 katika mkoa wa DSM. Hongera sana!
Hatua hiyo itapunguza mlundikano wa kesi na pia itarahisisha na kusogeza huduma za kimahakama karibu na wananchi, hii ni hatua muhimu sana ktk kufikia maendeleo na amani ktk mkoa wa DSM.
RC Makonda kumbuka kuna Wilaya mpya mbili; Ubungo na Kigamboni ambazo zina hitaji majengo ya Mahakama ya Wilaya ambazo ni muhimu sana sana.
Kumbe inawezekana!!!!!!
hakika Makonda ni mfano mzuri wa kuigwa na wakuu wa mikoa wengine.