Hatukulala kabisaa 😩😩😩😩mnaokaa masaki jana mlilala kweli?
Polisi wa Bongo bwana!Makonda anasema hakuna tukio lolote.....polisi wanasema walishapata hzo taarifa hata kabla ubalozi haujatoa taadhari......
Bongo nyosoooo...Makonda anasema hakuna tukio lolote.....polisi wanasema walishapata hzo taarifa hata kabla ubalozi haujatoa taadhari......
Kweli kabisa.Kenya walipuuza hivi hivi,ikala kwao
Nafikiri tahadhari ya kuwambia mulale nyumbani kwenu msipendelee kulala hotelini yasije yakawakuta wanajua WaTz munapenda sana outing.Hivi ni tahadhali ya kitu gani mkuu?
We are always REACTIVE not PROACTIVE,Hawa jamaa sijui vipi? Kwa hiyo mlikuwa mnataka wakae kimya tu wakati intelejensia yao imeonyesha kuna uwezekano wa kushambuliwa?
Yaani badala ya kushukuru mnalaumu. Si ajabu mngepewa hizi taarifa mngezikalia badala ya kuutahadharisha umma, wameona bora wao wautangazie uma kuepusha madhara.
Kuna ubaya gani katika hilo?. Badala ya kukanusha fanyieni kazi hizo rumours.
Wamarekani hawana sababu yoyote ya kutoa taarifa za uzushi.
Kama Sirro na wenzie walishajua mapema kwa nini hawakutoa alert yao mapema kwa jamii lengwa?...ni muhimu kuweka siasa pembeni kwenye vitu vya hatari... ni njia tu ya kuficha aibu baada ya intelijensia ya nchi ya kigeni kujua yajayo ndani ya nchi yetu wakati vyombo vyetu vimelala fofofo! Hakuna lolote hao; CIA ndio imewaamsha usingizini wanajifanya kujua kabla!
Kama marekani alipuuzia na nyie mnapuuzia?Na Marekani walipewa taarifa ya Bin Laden kushambulia nchini kwao wakapuuzia!
wakolomije bana, utawajua tu!Acheni dharau, mumeonan Mhe Msukuma bungeni anatoa material nzuri mpaka Rais kafukuzwa waziri wa viwanda na CEO wa TRA kazi? Wenye shahada na PhD niwaoga kusema ukweli, wanalindana!! Hongera Mhe Mkukuma(Mhe Joseph Kasheku)!
Kukaa kimya nayo ni busara.Mnaompinga Makonda mlitaka asemeje? Yuko sahihi acheni vijembe na mvutano wa kisiasa - Tuko na Makonda