RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

1. JE KWA JITIHADA ZIPI?

2. Si nasikia alisema kupitia 'Mawingu Media' kuwa Dar watu wanapuputika, eti alifokewa na kuambiwa asirudie tena.

3. Naamini amefungua kinywa chake kutetea ugali.

4. Ohhoo!! Madereva wetu - wengi wao wanatokea Dar - wanakataliwa huko milangoni mwa majirani. Pale Namanga wamekamia kuweka maabara mbili kabisa.
 
Anayetaka tusiamini taarifa za kwenye mitandao kisa mtoa taarifa kaficha jina. Sijui nae anaitwa nani?
 
Makonda hebu ogopa Mungu kama unachokisema ni kweli asee...
Taarifa flani niliiona na kuiweka hapa japo hakuna ila ile yangu ilikuwa na takwimu, tatizo ni kubwa sana jamani watanzania.

Tatizo linaonekana wazi kutokana na taarifa za ndugu, jamaa na marafiki waliofiwa na ndugu zao but fungukeni asee.
 
Ushetani wazidi kujianika. Hadithi zilezile kwa mtindo ule ule kama za wapima mapapai na mafenesi.
Kama Baba kama Mtoto.
Mungu mwenye haki ndie pekee atatutoa kwenye mikono hii ya UDHALIMU
Tunaongozwa na watu wa ajabu sana kipindi hiki. Tulikosea mahali 2015.
 
Back
Top Bottom