ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,564
- 2,173
Watanzania walio wengi hawana uwezo wa kuchambua kauli yake ya kipumbavu, wataibeba kama ilivyo na kuanza ku share kwenye magrupu yao.Mwenye macho haambiwi tazama, je aliwachukulia hatua gani baada ya kugundua hilo?
Kwa hiyo Kigogo ana nguvu kuliko hii Serikali ya wanyonge? Acha cheap politics mkuuAnawajuaje wakati wanadhaminiwa na Kigogo
Nusu shwari nusu shari.Hali Ni Shwari Ama Hali Ni Shari?
Mkuu ukitafakari sana haya mambo unajiuliza kama hawa jamaa nao wana akili za wanadamu wa kawaida au ni aliens fulani hivi.Tena usawa huu ulivyo mgumu pesa hakuna mtu akanunue majeneza na kulipa watu wa kichimba makaburi kadhaa ili kuleta taharuki 🤣🤣🤣
Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Sasa yeye ndiye kafuatilia hao watu, alichowafanya si lazima akiweke hadharani, kama unahamu ya kujua fanya nae mawasiliano umuulizeWewe uliyekubaliana na huo usanii wa RC
Tunaongozwa na watu wa ajabu sana kipindi hiki. Tulikosea mahali 2015.Ushetani wazidi kujianika. Hadithi zilezile kwa mtindo ule ule kama za wapima mapapai na mafenesi.
Kama Baba kama Mtoto.
Mungu mwenye haki ndie pekee atatutoa kwenye mikono hii ya UDHALIMU
Hajulikani....Tunakusanya watu wa cyber security tumbambe iwe mwisho wake.Kwa hiyo Kigogo ana nguvu kuliko hii Serikali ya wanyonge? Acha cheap politics mkuu
Mwenzako amekamatwa na madawa huko Mbeya nakushauri uache hiyo biashara!Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?