Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,362
- 33,003
Poor gov. Kigogo anawashinda ndiyi mtaweza kuleta Tanzania ya Sukari? Au viwanda?Hajulikani....Tunakusanya watu wa cyber security tumbambe iwe mwisho wake.
Poor gov. Kigogo anawashinda ndiyi mtaweza kuleta Tanzania ya Sukari? Au viwanda?Hajulikani....Tunakusanya watu wa cyber security tumbambe iwe mwisho wake.
Nifanye naye mwasiliano ili iwe nn?Sasa yeye ndiye kafuatilia hao watu, alichowafanya si lazima akiweke hadharani, kama unahamu ya kujua fanya nae mawasiliano umuulize
Baada ya rais kuruhusu wafu wakazikwe kwao mbona hamuendi kuwazika makwenu tuwahesabu??Huyu kiongozi ni "ZERO ZERO ZERO KICHWANI" kabisaaa. Yani kichwa chake kimejaa "MATOPE". Akili zake hua anakua amezikalia. Yani ni punguwani kabisa hili jamaa.
Hali inakuwa shwari bila ya kuwepo upimaji kwa wiki mbili sasa?
Tangu lini yeye amekuwa msemaji wa Wizara ya Afya!?
😳😳😳
Point of correction;Mimi si mtu wa serikalini...,Simfuatilii hata huyo Kigogo....Huku nilipo hakuna shida ya sukari;ni 2,800/= per kg.Poor gov. Kigogo anawashinda ndiyi mtaweza kuleta Tanzania ya Sukari? Au viwanda?
Aisee.Point of correction;Mimi si mtu wa serikalini...,Simfuatilii hata huyo Kigogo....Huku nilipo hakuna shida ya sukari;ni 2,800/= per kg.
Wanapostiwa na Kigogo na yule mwehu aliyezamia Los Angeles,California atawajuaje?Huu ndo upumbavu tunaukataa... Haya hebu chukulia ni kweli watu walifanya hivo. Wamechukuliwa hatua gani hao watu? Na ni wakina nani?
Wanapostiwa na Kigogo na yule mwehu aliyezamia Los Angeles,California atawajuaje?
Kwa Watanzania walalahoi kama mimi, ningeweza kuwaelewa na kuwasamehe.Watanzania walio wengi hawana uwezo wa kuchambua kauli yake ya kipumbavu, wataibeba kama ilivyo na kuanza ku share kwenye magrupu yao.
kush na Wisdom
OK sawa...halafu mbona hatuzioni sahivi?Serikali ilikataza watu kuzikwa usiku ina maana hukusikia ? Kwa hiyo ni kweli kwamba watu walikuwa wanazikwa usiku na serikali ilikuwa inajua. Hizo habari za kwamba kigogo na mange ndio walikuwa wanapost wewe ndio unazisema.