RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

Labda atashusha bei za vinywaji huko kwenye bar za polisi maana yeye ni "mwenyekiti wa kamati ya ulinzi".
 
Huyu mkuu wa mkoa kweli ni Naibu Rais kila sehemu yupo naona sasa hivi kawaovertake Shonza na Mwakyembe.

Huyu dogo dah....sijui bwana..there is something wrong somewhere...kuna msemo wa ngoma ivumayo sana....
 
ataje mda, kuanzia mda gani zitashushwa na ni sehemu (mahali) zipi ambazo zitashushwa
 
Back
Top Bottom