RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

Baba yake wa magogoni anamlinda na kuropoka ropoka kwake kama tusingekuwa na kichaa pale magogoni huyu mfojaji wa vyeti tungeshamsahau siku nyingi sana.

Huyu mkuu wa mkoa kweli ni Naibu Rais kila sehemu yupo naona sasa hivi kawaovertake Shonza na Mwakyembe.
 
Huyu boya akishusha bei mi nanunua naweka stock. Baada ya masaa sita napiga faida.
 
Hii ni maalumu kwa wanaume wa Dar es Salaam, wavulana wa mikoani mtaendelea kunywa vinywaji vyenu kwa bei ya kawaida. Hii ndiyo tofauti ya DAR na mikoani.
Hivi kwa nn wanaume wa dar mbona mwapenda sana kitonga?

Mwanaume wa kweli huwa hashangilii kununuliwa bia za bure.

Sifa kuu ya mwanaume ni kujibu mashambuluzi na sio kulegeza mimacho ili uonewe huruma.

Msipende vya bure maana kuna jela.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana mlevi wa taifa a.k.a rais wa walevi nae amewekwa kwenye kamati

mpuuzi mpuuzi tu
 
Back
Top Bottom