RC Makonda awakabidhi Yanga kiwanja leo Kigamboni

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Kigamboni muda huu, katika makabidhiano ya eneo ambalo Mkuu wa mkoa Dar aliahidi kuwapa Yanga SC.

Ahadi imetekelezeka, tayari viongozi wa Yanga SC wanalipigia mahesabu makali eneo hilo kuliendeleza katika shughuli za ujenzi uwanja na miundo mbinu mingine!
FB_IMG_1560857023920.jpeg
 
Kwahiyo ni huruma kwa timu ya yanga au wamenunua ila wamepewa eneo na kama ni huruma ina maana Yanga ina hali ngumu kihivyo...?
 
Manji alitoa wapi heka zote hizo?

Aridhi ni Mali ya serkali huyo manji tapeli alitumia udhaifu wa serkali kupora ardhi
hizo ekari 200 tulipewa na manji, bashite na jiwe wakaja kuzitaifisha sasa nasikia wametulejeshea ekari 37 tuu tena kwa mbwebwe, ekari zilizo baki wamezitia kibindoni alafu wanajidai wazalendo, nyambafu zake!
 
Back
Top Bottom