RC Makonda awajibu wabunge, adai wanaosema amevunja sheria wana watoto nje

Weka clip inayosikika akimjibu waziri
Bunge likigusa maslahi yenu mnadai bunge limenunuliwa na ccm,wabunge wakitumia vibaya kinga yao ya kusema chochote bungeni kumtukana na kumdhalilisha Makonda,kama alivyofanya Msukuma,mnafurahia na kupongeza
Cna haja ya kuweka iyo clip,maana haitaj ushaid ameenda kinyume na sheria ya mtot kuonyeshwa hadharan na kufedheheshana tuu!!ummy mwalim alimuonya ,ndugulile naye alionya ila kwa kua alpata 0 hakuelewa,Jana kaonywa na mlinga na kabud na msukuma,sasa nyie mnao mshabikia na ilo zoez lake la kijinga mnampotosha
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema wale wote wanaosema kampeni yake ya kuwasaidia akina mama waliotelekezwa na watoto imevunja sheria, pengine wana watoto nje na wanaogopa kujitokeza.

Makonda ameyasema hayo leo Aprili 19, katika uzinduzi wa hospitali ya kisasa ya mama na mtoto iliyopo Chanika iliyojengwa kwa msaada wa Shirika Maendeleo la Kimataida la Korea (Koica).

“Eti wanasema navunja sheria, natakiwa nifanye faragha kama unataka faragha tunza mtoto. Mimi siogopi, nipo tayari kufungwa lakini kwa ajili wa kutetea haki za watoto. Pengine hao wanaosema navunja sheria wana watoto wao nje wanaogopa kujitokeza,” amesema.

Jana, Waziri wa Sheria na Katiba, Profesa Palamagamba Kabudi akiwa bungeni alisema kampeni hiyo inaweza kuleta hali ya sintofahamu na akabainisha kuwa inapaswa kufanyika faragha na sio kama inavyofanyika sasa.

Awali, Waziri wa Afya, Jinsia, Wanawake na Watoto, Ummy Mwalimu alisema kampeni hiyo ni sahihi ila kasoro yake ni kutokuwa na faragha, lakini akasema kwa sasa inafanyika huku picha za watoto zikifichwa.

Aliyeibua hilo bungeni jana alikuwa ni mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga aliyehoji uhalali wa kampeni hiyo na akahoji kama haivunji sheria na kuwavunjia haki wanawake na watoto.

CHANZO: Mwananchi

Pia tembelea

Naibu Waziri wa Afya, Dk. Faustine Ndugulile akemea udhalilishaji watoto zoezi la RC Makonda

Msukuma: Kampeni ya Makonda ni ishara ya kukosa kazi ya kufanya

Prof. Kabudi: Makonda kavunja sheria na faragha za watu kuwaita wanawake na watoto. Ilitakiwa kuwa siri sio alivyofanya
Kolomije reloaded.Wanaume bilakujali ni nani. Wamepatikana. Wakubali walee yaishe.
Hata wakimsema vibaya zoezi liko sanctoned na{ sic }.
Nia nzuri ni wabunge wajitokeze ili yaishe.
La sivyo watazidi kujiaibisha bure.
 
Watoto wa mitaani, faragha yao iko wapi? Kwenye kuomba omba au kwenye kulala mitaroni au kwenye vibambaza vya nyumba au kuchakura majalalani? Je, hawaonekani wakifanya hivyo?
Ni kipi bora: kuwabaini wanaopelekea watoto kukosa malezi wanayostahili kutoka kwa wazazi wao au kuwafichia siri vidume vyenye kuwajaza mimba wanawake na kutelekeza viumbe vinavyozaliwa baada ya hapo?
Heshima ya mtu ni mtu mwenyewe! Kama huwezi kuishi kama binadamu, lazima utadhalilika! Mwacheni Makonda awatue hao akina mama mizigo! Naamini baada ya hapo, watoto hao hawatajuta! Hata hivyo, watoto katika kukua hupoteza sura ya utotoni na nani atakuwepo kuwaambia umbea kuwa walidhalilishwa?
 
Taarifa niliyonayo muda mrefu Magu hajitambui kwa kuwa alishapigwa zongo na BASHITE yaani aliamua kummaliza kwanza kbla ya kufanya anachokijua yy na wengi wanasema ni naibu rais lakini bashite ndiye rais wa Tanzania

Haijawahi kutokea katika awamu zote za URAIS toka nchi hii imepata uhuru wake, mkuu wa mkoa akaonesha kutokuheshimu mamlaka zilizo juu yake na asichukuliwe hatua kama Makonda!! Sasa kuna haja ya kujiuliza kama ni hivyo ni nani RAIS wa nchi hii ni Makonda au Magufuli? Mkuu wa mkoa anaingilia kazi za wizara za mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na hata Kazi za mahakama lakini hakuna mtu anaemgombeza!! Kulikoni?
 
Unaweza kunitajia ni drug dealer yupi alikutwa na mihadarati miongoni mwa wale aliokuwa amewataja?!
Au Wema Sepetu na TID?!

Hao mnaowaita wauza madawa ya kulevya ndio hao hao wanaomfadhili Makonda katika safari za kwenda China na Ulaya!!! Alipokwenda South Africa mnajua alikuwa mgeni wa nani?

Kuna bwana mmoja alikuwa anaishi London kwa muda mrefu lakini enzi za mkwere alirudi na akaanzisha kijigazeti na hata akateuliwa kuta mkurugenzi wa bodi ya TANAPA/NGORONGORO, siku hizi hayupo tena sijui kapotelea wapi? He was a man of interest in this illicit trade!!!
 
Yaani we jamaa unatia huruma kishenzi!!

It's very funny Bashite kawashika sana watu aina yako ambao hata reasoning yao inatia shaka!!

Hivi lile zoezi lisingewezekana bila kuita media na makamera yao?!

Lakini haishangazi manake hata last year aliendesha zoezi la mihadarati kama alivyofanya suala la the so called watoto waliotelekezwa!

Nini cha maana ambacho ali-deliver kwenye lile zoezi?!

Yaani mtu anaenda kwenye media na kutangaza "XYZ unatuhumiwa kujihusisha na mihadarati na kwahiyo Jumatatu unatakiwa kuripoti Central"

Two days later; eti polisi wanaenda kumpekua mtuhumiwa!!

Tell me, zilikamatwa kg ngapi za mihadarati from that madness?!

Ni mpumbavu gani ktk mazingira kama hayo angekutwa na ushahidi nyumbani hata baada ya kuwa amepewa tips 2 days before?!

But still watu wa aina yako walikuwa wanashangilia uju'ha kama ule!! Sitashangaa pia nikisikia ulishangilia "Meli ya Makonda!"

Sasa kama Prof. Kabudi ni shithole; mtu aliyefanya upuuzi kama ule sijui aitwe vp...!!

Na kama suala ni kuleta mabadiliko kama unavyosema; ni kweli wanaleta mabadiliko!

Mtu kajenga international airport kijijini kwake wakati hakuna any commercial viability ya ku-sustain even regional airport let alone international airport... kwa hakika ni mabadiliko!

Hivi sasa tunasikia Sh. Trilioni 1.5 hazina maelezo.... ama kweli hayo ni mabadiliko manake haijawahi kutokea!

Kelele nyiiiiingi za kujifanya eti kupiga vita ufisadi!

Kila ambae dish halijacheza, anafahamu miongoni mwa mafisadi wakubwa nchi hii ni viongozi wa kisiasa!!

Lakini hata wewe nikikuuliza nitajie mwanasiasa mmoja tu aliyefikishwa mahakamani; cjui kama jibu unalo!!

Sasa kama si mabadiliko tuite nini!!

Endelea kushabikia hujuma! Utamu zaidi unaweza kukuta watu kama nyinyi wala sio miongoni mwa wanufaika lakini hamchoki kushabikia majahili ya kisiasa na kiuchumi!

Ndiyo maana nakuambia kuwa wewe hujui sheria. Laiti ungezijua sheria usingetumia hilo jina ulilo litumia kwa kummaanisha mtu ambaye anajina lake la kisheria.
Kama unataka aitwe unavyo taka wewe nenda mahakamani ukapinge hilo jina lake na utoe sababu kwanini unapinga na kuthibitisha kuwa yeye anaitwa hivyo. Usiwe mtu wa kuamini chochote unacho sikia kutoka kwa mtu mwingine bila mwenyewe kuwa na uhakika na uthibitisho wa kujiridhisha. Hapo inaonyesha tayari uko out of the line of understanding the Law! Nimekutoa kwa knockout!

Kitu kingine ambacho nakufahamisha ambacho hukijui na hata askofu wako fake Ngwajima hajui na wala hataki kutambua ni kwamba RC Makonda sio kijana mwenzako, RC Makonda ni Regional Commissioner wa Mkoa wa Dar es salaam. Ni mtumishi wa serikali kama mawaziri na ni mwangalizi na msimamizi wa utekelezaji wa mipango yote ya serikali katika mkoa wake na mlinda usalama pia. Usalama wote katika mkoa upo mikononi mwake. Ni mtu ambaye nchini ana wadhifa mkubwa.

Umejiuliza huyo Askofu wako fake aliupataje huo uaskofu wake? Na wapi aliupata? Kwa vigezo vipi? Hilo dhehebu limetokea wapi na nani mwanzilishi? Nani ana finance huduma za uendeshaji wa dhehebu ambalo analiongoza? Watch out kijana! Usipende kukariri maandishi ya kwenye vitabu vya kizungu halafu ukaja hapa na kauli ya eti wewe ni msomi. Msomi? Usomi usioweza kuutumia kutatua matatizo yanayo tukabili?

Kijana umejiuliza watu wangapi wana hitimu masomo yao chuo kikuu cha DSM kila mwaka katika masomo ya science kama Civil Engineer na wanafanya nini wakati kila mwaka tuna mafuriko ya maji? Hao maengineer wetu wanatoa ushauri gani kutatua tatizo hilo?

Ndiyo maana nakuambia kuwa kuwa makini na neno msomi. Msomi ni mtu yule ambaye anatumia theory aliyo jifunza chuoni katika kutatua physical problems technically. Sasa niambie ma-engineer gani wa appleid sciences wa kutoka chuoni kwetu ambao wana tumia Knowledge yao kuondoa kero zetu za mafuriko ya kila mwaka? Jibu ni Zero. Kila mwaka ni Business as usual. Serikali inatenga tena fedha za kudumisha miundo mbinu ikitegemea "next year the same procedure as every year sir!"

Civil Engineer ambao wameketi na matako yao kwenye mabenchi ya chuo kikuu wanashindwa kutengeneza barabara ya juu kwa juu kati ya Magomeni Mapipa na Fire kweli? Ukizingatia mahesabu yote ambayo wameya-calculate chuoni na simulations zote walizofanya kwenye ma-computer yao halafu wanakuja na Zero mchango kwa umma? Inasikitisha Sana! Mimi ningeshauri hiyo faculty ifutwe inatupotzea mda na pesa tu haitusaidii kwa chochote kile. Kuna faida gani kuwa na faculty ambayo ni jina tu? Hiyo faculty nayo basi inatoa vyeti fake maana wahitimu hawana tija kwa jamii kama hawatumiki kutatua matatizo yetu ya lila siku.

Kwa hali hiyo naona vyetu vinavyo tolewa ni kwa ajili ya mishahara tu and nothing else!

Samahani nilichomekea tu. Turudi kwa Makonda wetu.
Huyo jamaa sio mtu wa kucheza naye. Angekuwa mtu mbaya na hana upendo na binadam wenzake angeweza kuwasweka watu wote ambao wanakiuka sheria kama wewe kuwaweka ndani.

Unajua wewe unayapenda maisha ya Ulaya au ya wazungu wakati hujui kwanini wazungu wamekuwa hivyo. Wazungu ni watu ambao hawachezi na mtu mwenye mamlaka kama yeye. Wana heshimu sana viongozi wao.

Mambo ambayo Makonda anayafanya na kuyafuatilia ni kitu cha kawaida katika maisha ya wazungu. Ni wajibu wake yeye katika mkoa wake kujua vijana na watoto wana hali gani. Badala ya kumpongeza nyie mnamkandia na kumvunja nguvu. Kwa nini? Kwa sababu ya faragha? Ina maana faragha ni muhimu kuliko maisha ya mtoto ambaye anapata shida wakati baba yake anendelea kuwazalisha na kuwaharibia maisha wanawake wengine? Basi akili zenu zitakuwa ziko matakoni.

Unajua tatizo lenu watanzania mnajidai mnajua mno kumbe hakuna mnacho kijua. Wakina Kikwete na wengine wamewapumbaza nyie akili ili waweze kuwaibia vizuri. Nyie ni watu wa aina gani msio jua shukrani kwa watu wanao saidia kuweka mambo yetu sawa?

Umejiuliza enzi ya Kikwete kwa nini watu kama Sumae na Lowasa kuwa watu wenye pesa kupindukia wakati wao ni watumishi wa serikali tu? Walikuwa na kitega uchumi gani ambacho kiliwafanya wao wawe mabilionea? Jiulize hayo kwanza halafu ndiyo uje na lawama zako kuhusu RC Makonda. Makonda anatekeleza wajibu wake kulingana na azima na wadhifa alio nao.

Yeye ndiyo mwenye majukumu makubwa ya kuboresha mkoa wetu kwa mujibu wa sheria, utake usitake! Ndiyo hivyo ilivyo.

Unajua wengi wetu sisi wananchi na hata mawaziri wetu au tuseme viongozi wetu kwa ujumla hatuja zoea kuwa na viongozi ambao wana take things seriously. Hatukuwa na mtindo huo before. Unajua kwa nini? Kwa sababu ya uzembe wetu ambao viongozi wetu walio pita wametujengea.

Mtu kama wewe, mtu ambaye hata sidhani kama kweli umeona darasa vizuri, hujiulizi kwa nini mtu anakuwa waziri au mkuu wa mkoa? Wao wana wajibu wa kuhakikisha maisha yetu yanatuendea vizuri na sio kwamba wana pata vyeo na kupata mishahara mikubwa ili wazembe na kulala Bungeni wakati wajibu wao hawatekelezi.

Ukimwona kiongozi ambaye anapenda sana kutoa lawama kwa wenzake basi hujue kiongozu huyo ni mzembe na kuna kitu anakificha definitely!

Amka ndugu yangu! RC Makonda ni mhamasishaji wa maendeleo ya mkoa wetu na mtoneshaji penye uovu. Mkoa wetu usipo endelea yeye ndiyo wa kulaumiwa kwani anatakiwa kusimamia activities zote za serikali katika huu mkoa.

Watumishi wote wa serikali katika huu mkoa wako chini yake isipokuwa waziri na wizara zao wanazo ziendesha au kuziongoza. Mafanikio na tabu tunazo zipata yeye ndiyo mtu wa kumlalamikia ili apeleke malalamiko yetu kwa serikali kuu ili matatizo yetu yaweze tatuliwa au kupata mwafaka.

Nchi yetu ilikufa mkuu. Amini ninacho kuambia. Ilibakia kununuliwa tu na watu wenye hela. Shukuru Mungu tumewapata hao watu wenye ujasiri na ambao wana tuonyesha jinsi gani nchi inatakiwa kuendeswa na sisi kuishi kwa amani na kuwa na perspective nzuri ya maisha ya baadae.

Naomba nikuulize maswali kidogo! Unaweza ukanieleza kwa nini kila mara Rais Kikwete na watu wake walikuwa wanaenda nje? Unajua pesa ngapi zilikuwa zina tumika? Je kwenda kwake nje mara kwa mara kumesaidia maendeleo ya nchi? Umesha sikia au kuona kiongozi yeyote yule katika ulimwengu huu amewahi waacha wananchi wake na matatizo yao peke yao na yeye mda wote kushinda Airports kama Rais Kikwete? Mbona sikukusikia ukihoji na kumlaumu humu JF?

Majibu ya maswali yako mengine yote ambayo umeniuliza naomba chukua mda kusikiliza hii clip. Kila kitu kiko humo ndani. Kama una akili kama unvyo fikiria bas utagundua upeo gani RC Makonda anao.

Zaidi ya hayo naomba uzingatie kitu kimoja. Maendeleo dunia hayajaletwa na watu wanao jiita wasomi wenye PHD. Wasomi kwa taarifa yako ni wazembe wa fikra. Ni mabwenyenye. Hawataki kuingia risks. Ni watu hatari sana. Machafuko yakitokea katika nchi wao ndiyo wa kwanza kukimbia. Sisi tutabaki tukiumizana wenyewe kwa wenyewe. Hatuna mtu wa kutupokea kwa sababu hatuna kitu cha ku-present.

Watu kama Rais Magufuli ni wasomi wachache sana ambao wako serious na maisha ulimwenguni. Na pia ukumbuke kuna watu wana akili ya dunia kama RC Makonda.

Huyo Albert Einstein mwenyewe mwanzoni haku perform vizuri. Baadae alivyo kuwa kazini, kwenye Patent Office (kwa kijerumani "Patentamt") ndiyo akili zikamjia na kuanza kuelewa vitu na mpaka kwenda chuo na kuwa Professor.

Makonda ni kama Magufuli sio mtu wa longo longo. Ni watu ambao wana dhamira nzuri ya kuleta maendeleo kwa wananchi wote.

Nikola Tesla baba wa alternative current wakati wa ufumbuzi wake hakuwa na degree baadae Physician na Electric engineer. Hakuwa na PHD.

Wernher von Brown baba wa Rockets na balistic missiles wakati wa ugunduzi hakuwa na degree yoyote. Baadae akaenda kusoma na kuwa na degree moja na aliwaajiri watu wenye PHDs na Professors titles.

Alexander Graham Bell baba wa simu naye wakati wa ugunduzi wake hakuwa na degree na baadae akaja kuwa President wa National Geographic bila degree.

Guglielmo Marconi master wa Wireless Telegraph & Signal Company, matumizi yake kwenye Radio na kwa simu za mkono. Smart phones. Hakuwa na degree hata moja. Utundu tu. Mwaka1909 alipata Nobelpreis ya Physics bila degree.

Heinrich Rudolf Hertz mzee wa electromagnetic waves akawa Prof. wa Phyisics na Electromagnetic Waves.

James Watt the Pioneer wa Steam Engine na master wa locomotives. Hakuwa na degree.

Thomas Alva Edison Baba wa light na electric equipment. Mgunduzi maarufu Sana na msambazaji wa umeme New York. Hakuwa na degree wala PHD. Utundu na akili za kuzaliwa.

Mark Suckerberg, Jamaa wa Facebook, Bill Gates wa Microsoft, Steve Jobs wa Aple ni pioneer wa Smartphones na wengine wengi ambao sijawataja hapa nilitaka tu kukuonyesha kuwa maendeleo duniani hayajaletwa na wasomi bali na watu wenye kuthubutu mambo na sio watu wanaofuata mkondo kama akina Professor Kabudi.

Sishangai kama Tanzania tutakuwa na majaji wasio jua wajibu wao kama Professor wao ndiyo wa sampuli ya akina Kabudi. Professor Kabudi ni msomi sana kama wengine pia lakini katika Social life wana feli.

Mimi si mlaumu kama atakuwa na mtoto pembeni ila nina mlaumu kwa hoja ambayo anazungumzia Bungeni kuhusu RC Makonda. RC Makonda ni mtu ambaye anathubutu mambo. Na watu kama hawa ndiyo wanachangia katika kusukuma gurudumu la maendeleo.

Ningefurahi kumsikia anmtia nguvu RC Makonda, kwani kitendo anacho kifanya ni kitendo ambacho kina stahili sifa kwa wananchi, lakini msomi wetu huyo anatoa hoja ya kumkejeli RC Makonda. Alistahili amheshimu Makonda pia kwani yeye naye ni mtumishi wa serikali.

Zaidi ya hayo ni kumwonea RC kwa vile yeye hana uwezo wa kwenda Bungeni kujitetea. It is not fair. Shame on you Prof. Kabudi.
 
Ndiyo maana nakuambia kuwa wewe hujui sheria. Laiti ungezijua sheria usingetumia hilo jina ulilo litumia kwa kummaanisha mtu ambaye anajina lake la kisheria.
Kama unataka aitwe unavyo taka wewe nenda mahakamani ukapinge hilo jina lake na utoe sababu kwanini unapinga na kuthibitisha kuwa yeye anaitwa hivyo. Usiwe mtu wa kuamini chochote unacho sikia kutoka kwa mtu mwingine bila mwenyewe kuwa na uhakika na uthibitisho wa kujiridhisha. Hapo inaonyesha tayari uko out of the line of understanding the Law! Nimekutoa kwa knockout!

Kitu kingine ambacho nakufahamisha ambacho hukijui na hata askofu wako fake Ngwajima hajui na wala hataki kutambua ni kwamba RC Makonda sio kijana mwenzako, RC Makonda ni Regional Commissioner wa Mkoa wa Dar es salaam. Ni mtumishi wa serikali kama mawaziri na ni mwangalizi na msimamizi wa utekelezaji wa mipango yote ya serikali katika mkoa wake na mlinda usalama pia. Usalama wote katika mkoa upo mikononi mwake. Ni mtu ambaye nchini ana wadhifa mkubwa.

Umejiuliza huyo Askofu wako fake aliupataje huo uaskofu wake? Na wapi aliupata? Kwa vigezo vipi? Hilo dhehebu limetokea wapi na nani mwanzilishi? Nani ana finance huduma za uendeshaji wa dhehebu ambalo analiongoza? Watch out kijana! Usipende kukariri maandishi ya kwenye vitabu vya kizungu halafu ukaja hapa na kauli ya eti wewe ni msomi. Msomi? Usomi usioweza kuutumia kutatua matatizo yanayo tukabili?

Kijana umejiuliza watu wangapi wana hitimu masomo yao chuo kikuu cha DSM kila mwaka katika masomo ya science kama Civil Engineer na wanafanya nini wakati kila mwaka tuna mafuriko ya maji? Hao maengineer wetu wanatoa ushauri gani kutatua tatizo hilo?

Ndiyo maana nakuambia kuwa kuwa makini na neno msomi. Msomi ni mtu yule ambaye anatumia theory aliyo jifunza chuoni katika kutatua physical problems technically. Sasa niambie ma-engineer gani wa appleid sciences wa kutoka chuoni kwetu ambao wana tumia Knowledge yao kuondoa kero zetu za mafuriko ya kila mwaka? Jibu ni Zero. Kila mwaka ni Business as usual. Serikali inatenga tena fedha za kudumisha miundo mbinu ikitegemea "next year the same procedure as every year sir!"

Civil Engineer ambao wameketi na matako yao kwenye mabenchi ya chuo kikuu wanashindwa kutengeneza barabara ya juu kwa juu kati ya Magomeni Mapipa na Fire kweli? Ukizingatia mahesabu yote ambayo wameya-calculate chuoni na simulations zote walizofanya kwenye ma-computer yao halafu wanakuja na Zero mchango kwa umma? Inasikitisha Sana! Mimi ningeshauri hiyo faculty ifutwe inatupotzea mda na pesa tu haitusaidii kwa chochote kile. Kuna faida gani kuwa na faculty ambayo ni jina tu? Hiyo faculty nayo basi inatoa vyeti fake maana wahitimu hawana tija kwa jamii kama hawatumiki kutatua matatizo yetu ya lila siku.

Kwa hali hiyo naona vyetu vinavyo tolewa ni kwa ajili ya mishahara tu and nothing else!

Samahani nilichomekea tu. Turudi kwa Makonda wetu.
Huyo jamaa sio mtu wa kucheza naye. Angekuwa mtu mbaya na hana upendo na binadam wenzake angeweza kuwasweka watu wote ambao wanakiuka sheria kama wewe kuwaweka ndani.

Unajua wewe unayapenda maisha ya Ulaya au ya wazungu wakati hujui kwanini wazungu wamekuwa hivyo. Wazungu ni watu ambao hawachezi na mtu mwenye mamlaka kama yeye. Wana heshimu sana viongozi wao.

Mambo ambayo Makonda anayafanya na kuyafuatilia ni kitu cha kawaida katika maisha ya wazungu. Ni wajibu wake yeye katika mkoa wake kujua vijana na watoto wana hali gani. Badala ya kumpongeza nyie mnamkandia na kumvunja nguvu. Kwa nini? Kwa sababu ya faragha? Ina maana faragha ni muhimu kuliko maisha ya mtoto ambaye anapata shida wakati baba yake anendelea kuwazalisha na kuwaharibia maisha wanawake wengine? Basi akili zenu zitakuwa ziko matakoni.

Unajua tatizo lenu watanzania mnajidai mnajua mno kumbe hakuna mnacho kijua. Wakina Kikwete na wengine wamewapumbaza nyie akili ili waweze kuwaibia vizuri. Nyie ni watu wa aina gani msio jua shukrani kwa watu wanao saidia kuweka mambo yetu sawa?

Umejiuliza enzi ya Kikwete kwa nini watu kama Sumae na Lowasa kuwa watu wenye pesa kupindukia wakati wao ni watumishi wa serikali tu? Walikuwa na kitega uchumi gani ambacho kiliwafanya wao wawe mabilionea? Jiulize hayo kwanza halafu ndiyo uje na lawama zako kuhusu RC Makonda. Makonda anatekeleza wajibu wake kulingana na azima na wadhifa alio nao.

Yeye ndiyo mwenye majukumu makubwa ya kuboresha mkoa wetu kwa mujibu wa sheria, utake usitake! Ndiyo hivyo ilivyo.

Unajua wengi wetu sisi wananchi na hata mawaziri wetu au tuseme viongozi wetu kwa ujumla hatuja zoea kuwa na viongozi ambao wana take things seriously. Hatukuwa na mtindo huo before. Unajua kwa nini? Kwa sababu ya uzembe wetu ambao viongozi wetu walio pita wametujengea.

Mtu kama wewe, mtu ambaye hata sidhani kama kweli umeona darasa vizuri, hujiulizi kwa nini mtu anakuwa waziri au mkuu wa mkoa?1 Wao wana wajibu wa kuhakikisha maisha yetu yanatuendea vizuri na sio kwamba wana pata vyeo na kupata mishahara mikubwa ili wazembe na kulala Bungeni wakati wajibu wao hawatekelezi.

Ukimwona kiongozi ambaye anapenda sana kutoa lawama kwa wenzake basi hujue kiongozu huyo ni mzembe na kuna kitu anakificha definitely!

Amka ndugu yangu! RC Makonda ni mhamasishaji wa maendeleo ya mkoa wetu na mtoneshaji penye uovu. Mkoa wetu usipo endelea yeye ndiyo wa kulaumiwa kwani anatakiwa kusimamia activities zote za serikali katika huu mkoa.

Watumishi wote wa serikali katika huu mkoa wako chini yake isipokuwa waziri na wizara zao wanazo ziendesha au kuziongoza. Mafanikio na tabu tunazo zipata yeye ndiyo mtu wa kumlalamikia ili apeleke malalamiko yetu kwa serikali kuu ili matatizo yetu yaweze tatuliwa au kupata mwafaka.

Nchi yetu ilikufa mkuu. Amini ninacho kuambia. Ilibakia kununuliwa tu na watu wenye hela. Shukuru Mungu tumewapata hao watu wenye ujasiri na ambao wana tuonyesha jinsi gani nchi inatakiwa kuendeswa na sisi kuishi kwa amani na kuwa na perspective nzuri ya maisha ya baadae.

Naomba nikuulize maswali kidogo! Unaweza ukanieleza kwa nini kila mara Rais Kikwete na watu wake walikuwa wanaenda nje? Unajua pesa ngapi zilikuwa zina tumika? Je kwenda kwake nje mara kwa mara kumesaidia maendeleo ya nchi? Umesha sikia au kuona kiongozi yeyote yule katika ulimwengu huu amewahi waacha wananchi wake na matatizo yao peke yao na yeye mda wote kushinda Airports kama Rais Kikwete? Mbona sikukusikia ukihoji na kumlaumu humu JF?

Majibu ya maswali yako mengine yote ambayo umeniuliza naomba chukua mda kusikiliza hii clip. Kila kitu kiko humo ndani. Kama una akili kama unvyo fikiria bas utagundua upeo gani RC Makonda anao.

Zaidi ya hayo naomba uzingatie kitu kimoja. Maendeleo dunia hayajaletwa na watu wanao jiita wasomi wenye PHD. Wasomi kwa taarifa yako ni wazembe wa fikra. Ni mabwenyenye. Hawataki kuingia risks. Ni watu hatari sana. Machafuko yakitokea katika nchi wao ndiyo wa kwanza kukimbia. Sisi tutabaki tukiumizana wenyewe kwa wenyewe. Hatuna mtu wa kutupokea kwa sababu hatuna kitu cha ku-present.

Watu kama Rais Magufuli ni wasomi wachache sana ambao wako serious na maisha ulimwenguni. Na pia ukumbuke kuna watu wana akili ya dunia kama RC Makonda.

Huyo Albert Einstein mwenyewe mwanzoni haku perform vizuri. Baadae alivyo kuwa kazini, kwenye Patent Office (kwa kijerumani "Patentamt") ndiyo akili zikamjia na kuanza kuelewa vitu na mpaka kwenda chuo na kuwa Professor.

Makonda ni kama Magufuli sio mtu wa longo longo. Ni watu ambao wana dhamira nzuri ya kuleta maendeleo kwa wananchi wote.

Nikola Tesla baba wa alternative current wakati wa ufumbuzi wake hakuwa na degree baadae Physician na Electric engineer. Hakuwa na PHD.

Wernher von Brown baba wa Rockets na balistic missiles wakati wa ugunduzi hakuwa na degree yoyote. Baadae akaenda kusoma na kuwa na degree moja na aliwaajiri watu wenye PHDs na Professors titles.

Alexander Graham Bell baba wa simu naye wakati wa ugunduzi wake hakuwa na degree na baadae akaja kuwa President wa National Geographic bila degree.

Guglielmo Marconi master wa Wireless Telegraph & Signal Company, matumizi yake kwenye Radio na kwa simu za mkono. Smart phones. Hakuwa na degree hata moja. Utundu tu. Mwaka1909 alipata Nobelpreis ya Physics bila degree.

Heinrich Rudolf Hertz mzee wa electromagnetic waves akawa Prof. wa Phyisics na Electromagnetic Waves.

James Watt the Pioneer wa Steam Engine na master wa locomotives. Hakuwa na degree.

Thomas Alva Edison Baba wa light na electric equipment. Mgunduzi maarufu Sana na msambazaji wa umeme New York. Hakuwa na degree wala PHD. Utundu na akili za kuzaliwa.

Mark Suckerberg, Jamaa wa Facebook, Bill Gates wa Microsoft, Steve Jobs wa Aple ni pioneer wa Smartphones na wengine wengi ambao sijawataja hapa nilitaka tu kukuonyesha kuwa maendeleo duniani hayajaletwa na wasomi bali na watu wenye kuthubutu mambo na sio watu wanaofuata mkondo kama akina Professor Kabudi.

Sishangai kama Tanzania tutakuwa na majaji wasio jua wajibu wao kama Professor wao ndiyo wa sampuli ya akina Kabudi. Professor Kabudi ni msomi sana kama wengine pia lakini katika Social life wana feli.

Mimi si mlaumu kama atakuwa na mtoto pembeni ila nina mlaumu kwa hoja ambayo anazungumzia Bungeni kuhusu RC Makonda. RC Makonda ni mtu ambaye anathubutu mambo. Na watu kama hawa ndiyo wanachangia katika kusukuma gurudumu la maendeleo.

Ningefurahi kumsikia akina nguvu RC Makonda, kwani kitendo anacho kufanya ni kitendo ambacho kina stahili sifa kwa wananchi, lakini mdomo wetu huyo anatoa hoja ya kumkejeli RC Makonda. Alistahili naheshimu Makonda pia kwani yeye naye ni mtumishi wa serikali.

Zaidi ya hayo ni kumwonea RC kwa vile yeye hana uwezo wa kwenda Bungeni kujitetea. It is not fair. Shame on you Prof. Kabudi.
You can't be serious!!

Yaani kabisa ulitarajia I'd read all above stuff even after revealing irrelevant information just from para one?!

Paragraph one umeanza na suala la uhalali wa jina!! The whole long paragraph talks nothing but uhalali wa jina la Bashite!

Does this discussion has anything to do with his name?!

Nikavumilia to second paragraph! Na yenyewe unaleta habari za Gwajima na kanisa lake as well uaskofu wake!

Does this discussion has anything to do with Gwajima?

And lemme tell you this! Kama unadhani kila mtu ni mlamba viatu kama wewe; tafuta uzi unaozungumzia udaktari wa Gwajima humu uone nilisema nini kuhusu huo udaktari wake fake!

STILL NIKAVUMILIA!

Paragraph ya tatu unatoa maelezo mareeeeeeeeeefu kuhusu wasomi wetu na matumizi ya elimu zao!!

Yaani kote huko; hujagusia hata kidogo hoja iliyopo mezani!

Sorry man, I dropped it there!! Nisingeweza kusoma li-post lirefu namna hii while it's full of irrelevant information!!

I don't care about longevity of the post but I care a lot about content!

Sorry to disappoint you, I dropped your post from para 4!!
 
Umeamini sasa? Nyie sio wasomi ni wavivu wa taarifa. Hamko curious na ndiyo maana ina wawia vigumu kutatua matatizo madogo yanayo wakabili.

Nipe nafasi kukupa mpangilio wangu wa points.

One;
Umetumia Bashite wakati Bashite simjui.

Two;
Bashite ulilipata kwa mara ya kwanza kutoka kwa askof fake Gwajima. Ndiyo maana nikamleta yeye kwenye mada.

Three;
Umetia wasi wasi kuhusu elimu ya RC Makonda na utekelezaji wa mamlaka yake, na ndiyo maana nikakupa mifano ya maisha duniani ambayo mimi nimeshuhudia kwa macho na matendo ya maisha yangu katika nchi tofauti nilizotembelea duniani zaidi ya Tanzania peke yake.

Four;
Umezungumzia kuhusu kejeli ya Prof. Paramagamba Kabudi Bungeni dhidi ya mtumishi mwenzake wa serikali RC Makonda, ndiyo maana nikamwingiza yeye na usomi alio nao na mafanikio aliyo tuletea so far kwenye makenikia lakini kwenye social life ame feli, kwa sababu naye amefanya makosa vile vile ambayo hayata sahaulika ili kulinda hadhi yake. Vile vile lazima azingatie kuwa yeye naye ni kiongozi wa kuteuliwa na Rais kama RC Makonda kwa hiyo hana budi kumheshimu yeye pia. Kama anaona kuwa Paul Makonda ametumia mamlaka yake vibaya angeweza kumwita na kutmweleza jinsi ya kufanya. Isitoshe wote wana fanya kazi chini ya Rais mmoja na serikali moja. Ame act kama mpinzani. Mafanikio ya serikali yao ni mafanikio yao wote na sio mtu binafsi.

Kwanza Bunge gani ambalo lina poteza mda na pesa kumjadili mtu badala ya kuchangia hoja za maendeleo? Huoni kuna ukosefu hapo? Wabunge wa aina hiyo wanahitaji jumpers kwenye ubongo wao, kwani connections za nerves zao zimepata gaps. Synapsis zina irreparable defect!

Five;
Umeuliza maswali mengi kuhusu RC Makonda ndiyo maana nika link hiyo Clip yake ili usikie jinsi gani ana upeo mkubwa kuliko hata wale waandishi wa habari walio kuwa wakimuuliza maswali. Nilitegemea wangemuuliza maswali ya kiinteligensia ambayo yangesaidia kuwaelemisha wananchi juu ya maadhimio yake ya kupambana na uharibifu na uoneaji wa vitendo ambavyo sisi wanaume tunafanya bila kujua pengine na ni vitendo ambavyo tuna liangamiza taifa letu.

Umesha wahi kujiuuliza Tanzania ita kuwa wapi miaka 50 ijayo na vifaranga vyako kama unavyo vitaishi vipi?

Nina uhakika hujaisikiliza hiyo Clip. Kwa sababu hutaki kusikia cha msingi kwenye hiyo Clip anacho kisema na kukifafanua RC Makonda.

Sija wahi ona na kusikia katika maisha yangu mtu ambaye anasadikiwa kuwa ana elimu ndogo kuwa na mawazo mapana ya kuelewa na kupangilia mambo kama RC Paul Makonda.

Conclusion yangu ni kuwa wewe kweli ni tahira. Umezoea kusikiliza mambo ya udaku kuliko basics ya mambo ambayo ni ya maendeleo. Huna stamina ya kushindana na watu walio ona darasa na wana mwamko wa kuona nchi yao ina kuwa nchi ya kistaarabu. Nchi kama hizo zisizo na utaratibu wa kuendesha maisha usio eleweka wajerumani wana ziita "Bananenrepublik" ni Banana Republic na tafsiri yake ni nchi ambazo zina ishi watu wasio wastaarabu wenye mwongozo wa maisha ya ki nyani nyani.

Kelele zako za punda kuhusu RC Makonda kamweleze mpenzi wako na wanawake wanao kusujudu. Sio humu. Humu kuna vichwa vimetulia. Usifikiri vimelala viko
active vina wasikiliza tu nyie wabwabwajaji.
 
Swala jingine nililo taka kusema ni kuwa kwa nini hatu-discuss matatizo ya mfuriko ya maji maeneo ya mabonde kwenye jiji letu badala yake tuna deal na maswala madogo madogo ya akina Makonda. Tunakimbia maamuzi mazito?

Watu mnazo shawishi watanzania waandamane mko wapi? Kwa nini hamandamani kwa hili, ili Rais Magufuli na waaaidizi wake wanaöitafutia ufumbuzi wa kudumu? Hapo ndipo ninapo wajaji wapinzani kuwa akili zao ni ndogo sana.

Nilitegemea Bunge letu kumpa pressure kiongozi wa nchi Rais Magufuli ili hili swala litatuliwe au lipatiwe mwafaka haraka iwezekanavyo na sio udaku wa bajeti bajeti bajeti. Kila siku the same thing. Tunakuwa kama ma-autist?
 
emoji3.png

We jamaa wa wapi wewe?!

Issue sio kupangilia bali issue ni kuandika irrelevant stuff!!

Btw, ni wapi nimekuambia mimi msomi?! Mbona kama unaweweseka?!

Nimekuambia unaandika IRRELEVANT stuff! Why should I waste my time reading irrelevant stuff?!

Unadai nimemuita Bashite wakati Bashite humjui!!

Look at you! Ni nani huyo niliyemwita Bashite?! Na kama humjui huyo Bashite; how come unaandika maelezo meeeeeeengi kumwelezea mtu usiyemfahamu?!

Unadai jina la Bashite nimelipata toka kwa Gwajima! Pole sana manake bado naona unamuugulia Gwajima!

FYI, suala la jina la Bashite liliibuliwa Dec. 15; 2015 kabla hata hajawa RC!
Nilikutana naye Koromije Misungwi Mwanza miaka ya 2000 enzi hizo akiitwa DAUDI Bashite. Sifahamu kivipi anaitwa Paul Makonda. Namfahamu in and out
Fuatilia hiyo post uone ni ya lini! Aidha, fuatilia posts za huyo Mama Phillipo uone kama ni mtu wa politics!

Kuhusu shaka ya elimu ya RC! Hata kama kuna tuhuma za Makonda kuwa education fraud; unaweza kuonesha ni wapi nilipozungumzia suala la elimu yake?!

Au umeamua kutumia huu uzi kujibu tuhuma zake zote? Sasa nikikuambia unaleta irrelevant stuff utalalamika?!

Now let's come to hilo la utekelezaji majukumu yake! Of course; hapa nitasisitiza!!

Zoezi la mihadarati na watoto waliotelekezwa ameyaendesha kwa UOVYO kabisa!

Let's assume this:
Wewe ni Drug Lord jijini Dar es salaam na mimi ndie RC Makonda!

Saa 5 asubuhi Jmosi naita media with Live TV coverage na kutangaza hadharani kwamba nimepata taarifa unajihusisha na dawa za kulevya. Aidha, natoa amri Jumatatu ukaripoti Central Police.

Jtatu unaenda Central kisha baadae askari wanakuchukua hadi home na kufanya upekuzi!

NOW TELL ME: Je, askari wakija kukufanyia upekuzi watakuta ushahidi wowote hata baada ya kufahamu kesho kuwa utapekuliwa?!

Kazi kwako but that's how Makonda conducted his operation!!

Hili la watoto sasa!! Hivi kama asingeita media na makamera isingewezekana kuwasaidia? Alikuwa na sababu zipi za msingi za kuwa-expose watoto mbele ya kamera?

Kuhusu Kabudi! Ni wapi alipomkejeli Makonda?! Yaani kusema Makonda alipaswa kuendesha lile zoezi kwa faragha ndo kumkejeli?!

Hivi nyie watu mna matatizo gani? Mbona mnapenda kutetea ujinga? Hivi kati ya Kabudi aliyesema zoezi lilipaswa kuendeshwa kwa faragha na Makonda aliyesema wanaompinga ni wale waliotelekeza watoto; ni nani kumkejeli mwenzake?!

Kabla sijafikia hiyo hoja nilikuwa sijagundua you're here kutetea lolote la Makonda hata kama ni la kijinga!

SORRY MAN, keep going with your project.

Kwamba mimi ni tahira; thank you for the complement lakini usipende kuigiza shari wakati shari huziwezi!

Endelea kutetea ujinga wa Makonda but be careful when you deal with me personally!

Sasa endelea kujifanya fyatu!
 
Swala jingine nililo taka kusema ni kuwa kwa nini hatu-discuss matatizo ya mfuriko ya maji maeneo ya mabonde kwenye jiji letu badala yake tuna deal na maswala madogo madogo ya akina Makonda. Tunakimbia maamuzi mazito?

Watu mnazo shawishi watanzania waandamane mko wapi? Kwa nini hamandamani kwa hili, ili Rais Magufuli na waaaidizi wake wanaöitafutia ufumbuzi wa kudumu? Hapo ndipo ninapo wajaji wapinzani kuwa akili zao ni ndogo sana.

Nilitegemea Bunge letu kumpa pressure kiongozi wa nchi Rais Magufuli ili hili swala litatuliwe au lipatiwe mwafaka haraka iwezekanavyo na sio udaku wa bajeti bajeti bajeti. Kila siku the same thing. Tunakuwa kama ma-autist?
Tafuta uzi unaozungumzia mafuriko lakini hapa sio sehemu yake!
 
We jamaa wa wapi wewe?!

Issue sio kupangilia bali issue ni kuandika irrelevant stuff!!

Btw, ni wapi nimekuambia mimi msomi?! Mbona kama unaweweseka?!

Nimekuambia unaandika IRRELEVANT stuff! Why should I waste my time reading irrelevant stuff?!

Unadai nimemuita Bashite wakati Bashite humjui!!

Look at you! Ni nani huyo niliyemwita Bashite?! Na kama humjui huyo Bashite; how come unaandika maelezo meeeeeeengi kumwelezea mtu usiyemfahamu?!

Unadai jina la Bashite nimelipata toka kwa Gwajima! Pole sana manake bado naona unamuugulia Gwajima!

FYI, suala la jina la Bashite liliibuliwa Dec. 15; 2015 kabla hata hajawa RC!
Fuatilia hiyo post uone ni ya lini! Aidha, fuatilia posts za huyo Mama Phillipo uone kama ni mtu wa politics!

Kuhusu shaka ya elimu ya RC! Hata kama kuna tuhuma za Makonda kuwa education fraud; unaweza kuonesha ni wapi nilipozungumzia suala la elimu yake?!

Au umeamua kutumia huu uzi kujibu tuhuma zake zote? Sasa nikikuambia unaleta irrelevant stuff utalalamika?!

Now let's come to hilo la utekelezaji majukumu yake! Of course; hapa nitasisitiza!!

Zoezi la mihadarati na watoto waliotelekezwa ameyaendesha kwa UOVYO kabisa!

Let's assume this:
Wewe ni Drug Lord jijini Dar es salaam na mimi ndie RC Makonda!

Saa 5 asubuhi Jmosi naita media with Live TV coverage na kutangaza hadharani kwamba nimepata taarifa unajihusisha na dawa za kulevya. Aidha, natoa amri Jumatatu ukaripoti Central Police.

Jtatu unaenda Central kisha baadae askari wanakuchukua hadi home na kufanya upekuzi!

NOW TELL ME: Je, askari wakija kukufanyia upekuzi watakuta ushahidi wowote hata baada ya kufahamu kesho kuwa utapekuliwa?!

Kazi kwako but that's how Makonda conducted his operation!!

Hili la watoto sasa!! Hivi kama asingeita media na makamera isingewezekana kuwasaidia? Alikuwa na sababu zipi za msingi za kuwa-expose watoto mbele ya kamera?

Kuhusu Kabudi! Ni wapi alipomkejeli Makonda?! Yaani kusema Makonda alipaswa kuendesha lile zoezi kwa faragha ndo kumkejeli?!

Hivi nyie watu mna matatizo gani? Mbona mnapenda kutetea ujinga? Hivi kati ya Kabudi aliyesema zoezi lilipaswa kuendeshwa kwa faragha na Makonda aliyesema wanaompinga ni wale waliotelekeza watoto; ni nani kumkejeli mwenzake?!

Kabla sijafikia hiyo hoja nilikuwa sijagundua you're here kutetea lolote la Makonda hata kama ni la kijinga!

SORRY MAN, keep going with your project.

Kwamba mimi ni tahira; thank you for the complement lakini usipende kuigiza shari wakati shari huziwezi!

Endelea kutetea ujinga wa Makonda but be careful when you deal with me personally!

Sasa endelea kujifanya fyatu!
Kwanza naomba kukuomba msamaha kwa neno langu "msomi". Hapa nafikiri umeni-catch vibaya, sikukulenga wewe personally bali nilimaanisha general kwa watanzania!

Turudi sasa kwenye hoja yetu na maswali yako. Ulianza kama ifuatavyo;
"Yaani we jamaa unatia huruma kishenzi!!"
Sikukujibu lolote.

Ukaendelea hivi;
"It's very funny Bashite kawashika sana watu aina yako ambao hata reasoning yao inatia shaka!!"
Nami nitakujibu; "Unazungumzia kuhusu Bashite wakati mimi Bashite simjui."

Halafu ukauliza swali lako la kwanza;
"Hivi lile zoezi lisingewezekana bila kuita media na makamera yao?"
Sikukujibu kitu.

Ukaendelea hivi;
"Lakini haishangazi manake hata last year aliendesha zoezi la mihadarati kama alivyofanya suala la the so called watoto waliotelekezwa!"

Ukauliza swali lako la pili;
"Nini cha maana ambacho ali-deliver kwenye lile zoezi?"
Sikukujibu kitu!

Ukaendelea hivi;
"Yaani mtu anaenda kwenye media na kutangaza "XYZ unatuhumiwa kujihusisha na mihadarati na kwahiyo Jumatatu unatakiwa kuripoti Central""

Ukaendelea;
"Two days later; eti polisi wanaenda kumpekua mtuhumiwa!!"

Ukauliza swali lako la tatu kama ifuatavyo;
"Tell me, zilikamatwa kg ngapi za mihadarati from that madness?"
Sikujibu kitu!

Ukaendelea kuuliza swala lako la nne;
"Ni mpumbavu gani ktk mazingira kama hayo angekutwa na ushahidi nyumbani hata baada ya kuwa amepewa tips 2 days before?"
Sikukujibu kitu!

Ukaendelea;
"But still watu wa aina yako walikuwa wanashangilia uju'ha kama ule!! Sitashangaa pia nikisikia ulishangilia "Meli ya Makonda!""
Nami sikusema kitu tena na tena!

Ukaendelea na maelezo yako;
"Sasa kama Prof. Kabudi ni shithole; mtu aliyefanya upuuzi kama ule sijui aitwe vp...!!"
Hapo ndipo nilipo kuja na kauli ya usomi na maelezo mrefu kuhusu wasomi wetu Tanzania na kadhalika.

Ukaendelea kuchangia hoja kama ifuatavyo;
"Na kama suala ni kuleta mabadiliko kama unavyosema; ni kweli wanaleta mabadiliko!"

Ukaleta mada ya Airport ambayo nayo haihusiani na action ya Makonda kuhusu swala la watoto walio tekelezwa. Hii hoja ina mhusu Rais Magufuli;
"Mtu kajenga international airport kijijini kwake wakati hakuna any commercial viability ya ku-sustain even regional airport let alone international airport... kwa hakika ni mabadiliko!"
Nami nikakupa maelezo mengi kuhusiana na maendeleo na mifano ya maisha na uzoefu wangu katika nchi tofauti nilizo tembelea zaidi ya Tanzania.

Wewe katika swala hilo hilo la Makonda na watoto walio tekelezwa ukaleta hili;
"Hivi sasa tunasikia Sh. Trilioni 1.5 hazina maelezo.... ama kweli hayo ni mabadiliko manake haijawahi kutokea!"
Nami nikatoa general maelezo ambayo sita penda kuyarudia tena maana inaonekana nitakuchosha tu na uelewa wako mkubwa wa mada. Kwako hiyo ni relevant Theme. Lakini kwangu sio! Au sio?

Ukaendelea;
"Kelele nyiiiiingi za kujifanya eti kupiga vita ufisadi!"
Pia hii sentesi ni irrelevant kwenye mada inayo husu watoto walio tekelezwa, lakini kwako ni relevant.

Umeendelea na mada ya ufisadi ambayo bado haihusu watoto walio tekelezwa. Siku critisize.
"Kila ambae dish halijacheza, anafahamu miongoni mwa mafisadi wakubwa nchi hii ni viongozi wa kisiasa!!"

Ukaniuliza swali lako la tano;
"Lakini hata wewe nikikuuliza nitajie mwanasiasa mmoja tu aliyefikishwa mahakamani; cjui kama jibu unalo!!"

Ambao nalo lilihusu Mafisadi na sio watoto walio tekelezwa ya Mh. Makonda.
Kwako ni relevant Theme. Au sio?

Uakendelea na kejeli zako;
"Sasa kama si mabadiliko tuite nini!!"
Nami nikatoa maelezo kidogo kuhusu wasomi wetu kwa ujumla.

Mwisho ukaja na kejeli nyingine;
"Endelea kushabikia hujuma! Utamu zaidi unaweza kukuta watu kama nyinyi wala sio miongoni mwa wanufaika lakini hamchoki kushabikia majahili ya kisiasa na kiuchumi!"

Nami nika kutumia link ya Video clip nikimaanisha kuwa maswali yote uliyo yauliza yaliulizwa pia na watangazaji kwenye hiyo clip. Inatakiwa kuisikiliza na kupata jibu la kila swala na maelezo uliyo yatoa.

Sasa kwa haya. Bado una sababu ya kunilaumu au kunihurumia?

Nafikiri ungejihurumia kwanza wewe mwenyewe kwani umeshindwa kuhusisha maandishi yangu na maswali na maelezo ambayo wewe mwenyewe umeyauliza na kuelezea.

Ndiyo maana nikasema wewe ni tahira nikimaanisha kuwa, mbona kila kitu kiko clear?

Maswali yako mengi yalilenga mada ambayo haihusu watoto ambao wametekelezwa. Na majibu yake yako kwenye hii Clip!

Sikiliza please! itakupanua mawazo. Badala ya kuanza kipigiana kelele zisizo na msingi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom