RC Makonda awajibu wabunge, adai wanaosema amevunja sheria wana watoto nje

Hapa ndipo unapo ona hivi sasa hakuna utawala wa sheria. Makonda ni nani hata aingilie bunge?? Ila nakumbuka kuna mtu alisema..... Nawapenda sana hawa vijana.... Labda kiburi kimeanzia hapo
 
Jana tuu kamjibu wazir wa katba kua hao wanaosema anavunja sheria labda wana watot ,makonda amekosa heshma tang cku nying hat kipnd cha warioba mnajua alichokfanya
Aisee umenikumbusha alivyomzabua vibao mzee warioba utafikiri anapiga mwizi wa Kuku kumbe anampiga waziri mkuu msaafu, baada ya hapo akapata u DC
 
Unamshauri Makonda yupi huyo?
Kama unamlenga huyu aliyeteuliwa na asiyepangiwa acha kupoteza muda wako kabisa.
Huyu ni dunia pekee tu ndio inaweza kumfunza adabu na wala sio sheria/ katiba au kikundi chochote kile cha watu(bunge, mahakama au baraza la mawaziri).
Siku JIWE akiondoka unaweza kumpa huo ushauri na nakuhakikishia ataupokea kwani atakuwa hana kinga ya malaika kwahiyo ataheshimu ushauri wa binadamu.
 
Jana tuu kamjibu wazir wa katba kua hao wanaosema anavunja sheria labda wana watot ,makonda amekosa heshma tang cku nying hat kipnd cha warioba mnajua alichokfanya
Weka clip inayosikika akimjibu waziri
Bunge likigusa maslahi yenu mnadai bunge limenunuliwa na ccm,wabunge wakitumia vibaya kinga yao ya kusema chochote bungeni kumtukana na kumdhalilisha Makonda,kama alivyofanya Msukuma,mnafurahia na kupongeza
 
Subiri kidogo video click zinakuja uone wabunge wa ccm walivyochukia
Nataka video ya makonda sio ya wabunge kukasirika
Hao wabunge wakiisema chadema mnawatukana,wakimsema Makonda mnachekelea kama mazuzu.Weka na video ya boriti ya kibajaji
 
Back
Top Bottom