Tetesi: RC Makonda awagomea Clouds leo

Feb 22, 2017
6
16
Nasikia leo team ya Clouds FM kama ilivyo kawaida yao ya kwenda ofisi za Wakuu wa Mikoa kukaribisha Msimu wao wa Tigo Fiesta so baada ya kufika kwa Makonda wakakuta waandishi wengine wanasubiri Press yake ambayo aliita kuwafahamisha uwepo wa Meli kubwa inayotegemea kuja siku zijazo kwa ajili ya kuleta Madokta toka China.

Baada ya Press kuisha vijana wa Mjengoni ‘Clouds’ wamemfata Makonda kumrekodi Jamaa kawachomolea mbele ya waandishi wengine wa habari kwa kusema hawezi kurekodi hana huo muda.!! Naona sasa mambo yamefika patamu.
 
Ni hatari sana kuleta mambo ya Urafiki sehemu yako ya kufanyia Kazi..,
 
Hivi inawezekana bashite akawakataza 'polisi wake' kutimba fiesta?
 
kosa kubwa wanalo clouds fm wenyewe chini ya bosi wao ruge.... alileta urafiki na mapenzi sehemu ya kazi..

bosi unatembea na wafanyakazi wako wa kike... bosi unaruhusu rafiki yako awe na access na studio yako anakuja muda wowte na kufanya kazi zake... hilo ndilo kosa kubwa
 
Kazi kweli kweli!

Hayo yote nadhani clouds walijitakia!
Tangu lini mtu unaingiza ushikaji ofisini kwako!!!

Wacha mparurane
 
Clouds walimchezea rough mbaya Makonda naona hii ni swift revenge
 
Nasikia leo team ya Clouds FM kama ilivyo kawaida yao ya kwenda ofisi za Wakuu wa Mikoa kukaribisha Msimu wao wa Tigo Fiesta so baada ya kufika kwa Makonda wakakuta waandishi wengine wanasubiri Press yake ambayo aliita kuwafahamisha uwepo wa Meli kubwa inayotegemea kuja siku zijazo kwa ajili ya kuleta Madokta toka China.

Baada ya Press kuisha vijana wa Mjengoni ‘Clouds’ wamemfata Makonda kumrekodi Jamaa kawachomolea mbele ya waandishi wengine wa habari kwa kusema hawezi kurekodi hana huo muda.!! Naona sasa mambo yamefika patamu.
Ogopa sana mtu kwenye maisha yako anayehadithia story akianza na neno "nimeskia" au "Yaan nakwambia".
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom