RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

Nyerere aliwahi kusema, "ULEVI WA MADARAKA NI MBAYA KULIKO ULEVI WA POMBE. ULEVI WA POMBE UNAISHA LAKINI WA MADARAKA HAUISHAGI"
wa madaraka haushi mpaka upigwe chini...na huyu jamaa inaelekea tunae at least miaka kumi...
 
Wewe inavyokomaa kumtetea huyo makonda......yaani unaona hajatoa matusi hapo....makonda kakosa hekima na busara kabisa kilichomtawala ni siasa tu na dhihaka.
Nawapongeza ACT kwa hatua waliyoichukua

Mimi niko Pretoria na nimeona live huo mkutano

Nampongeza RC makonda kwa hatua anazochukua
 
Hivi ulishawahi kudhulumiwa shamba au kiwanja?na maafisa ardhi na wenyeviti wa mitaa wakakukana hadharani?ungekuwa ni wewe ungeweza kumwita Chizi badala ya kichaa. Uozo huu umedumu kwa miongo kadhaa sasa. jitihada zinazofanywa na RC makonda ni za kuungwa mkono.inatia hasira kila ukiuliza akina mama wajane na wazee kwa mfano mabwepande ni wangapi wamedhulumiwa viwanja vyao na aliyehusika wote kama sio wengi wao wanamtaja huyo afisa wanayemtetea hao watafuta KIKI wa ACT. akina mama wengi ndio wana matatizo mengi na wengi wao wanafarijika sana kupata nafasi za kusikilizwa. ushauri wangu kwa makonda aweke utaratibu mzuri wa kusikiliza kero hizo mathalani ateue eneo la kukaa watu wenye aina moja ya kero yaani wenye ishu za ardhi wakae peke yao,afya,nyumba n,k.
Binafsi napongeza sana kazi nzuri hii ya kuigwa.
UNaweza kuwa sahihi katika yote unayosema.
Lakini je kosa moja linahalalisha kosa lingine? Je, ni utaratibu kwenye mkutano kama huo kuanza kumuita yule mama kuwa ni shetani?
Unahisi hizo sheria zilizowekwa kuwashughulikia watumishi hazikustahili kuwepo? Na je vipengele vya kimaadili ambavyo viongozi wamewekewa katika kushughulikia matatizo ya kitumishi havifai kuwepo? Na tume ya maadili ni ya kazi gani?
Akajitetee tu kule pengine anaweza shinda au kushindwa na hivyo itamfanya kuwa kiongozi bora zaidi!
 
Kwaiyo unataka afanye kazi kwa kukufirahisha wewe ama?

Hakuna sheria ya kuchapa mtu makofi ila ningekuwa mimi ndio RC kweli makofi na Nguni zingetumika
Yaonyesha wewe mwenyewe ni kama alivyo kakako mlopokaji, sasa asubiri siku akutane na visiki vya mpingo ndo atajua kama heshima ni kitu cha bure na ukikivunja ujue hata wewe kitakubadilikia
 
Watu waache ushabiki maandazi..
Hata kama huyo Afisa ardhi alikuwa na makosa hakupaswa kujibiwa hivyo, huyo Makonda sasa kazidi akiachwa aendelee kufanya hivyo kwa kuwa ni kiongozi, itampotezea credibility!
Uongozi una codes zake, busara na hekima ndio uongozi!
Mfalme Suleiman pamoja na utajiri wake alimuomba Mungu ampe kwanza hekima na hiyo ilimsaidia na ikamfanya akapendwa na watu wote, uongozi siyo ubabe, matamshi na kutumia nguvu!
 
Mlichokiandika hakiingii akilini.Nadhani mmekaa middle siku nyingi kwa hiyo mnataka mjionyeshe hadharani.Kwanza ACT ngome ndiyo uchafu gani ?
 
Hiyo hiyo waliyotumia ACT kupeleka malalamiko kwenye Tume ya maadili
Ww yomboo angalia hiyo sheria hapa
1480424082956.jpg
 
Kwa kadri ninavyoielewa hii Tume sijaona ikikunjua makucha yake. Kumekuwepo na ukiukaji wa Maadili kwa viongozi wa Umma kwa muda mrefu lakini sijawahi kusikia hatua walizo chukua. Tungeomba walau waonyeshe kwamba na wao wapo ili umuhimu wao uonekane. Hebu agalia hii nukusi, huyu jamaa amekuwa akirudia mara kwa mara haka katabia ka kudhalilisha watu:
DC Paulo Makonda Kufikishwa Mahakamani kwa Udhalilishaji | MPEKUZI
 
Kawazalilishaje , mbona mnakurupuka ??

Shida hamtaki kuambiwa ukweli maana asilimia kubwa ya watumishi wa uma ni mabogas sana

Tena alipaswa amchape vibao huyo mtumishi wa uma maana wamezidisha ubwege pambaf kabisa

Watanzania wavivu wa kufikiri na kutenda jinga kabisa

Kuna taratibu na kanuni za kuwawajibisha watumishi wavivu na si kwa njia ya udhalilishaji anaofanya Makonda na yeye analijua hilo hila ubishororo ndiyo nadhani unasumbua.
 
Ukweli usemwe mnamjaribu RC.... Watu wafanye haki ubabaishaji haufai.... Bora washughulikiwe tuu Hamna namna
 
Kawazalilishaje , mbona mnakurupuka ??

Shida hamtaki kuambiwa ukweli maana asilimia kubwa ya watumishi wa uma ni mabogas sana

Tena alipaswa amchape vibao huyo mtumishi wa uma maana wamezidisha ubwege pambaf kabisa

Watanzania wavivu wa kufikiri na kutenda jinga kabisa
You are cleary looking for fame...idiot.If u think government workers are dumbs as u say then why aint u helping the so called citizen to tackle their problems instead u jus use ya idiotic time in here...dumbass..you have to listen to both sides before judging anyone thats why in the eyes of God there is repent and be forgiven no one has power to judge.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom