RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

Naona midadi ilimzidia akaona liwalo na liwe wacha nilipuke tu! Taratibu husika zizingatiwe jamani, maana kila mmoja akija na style yake for the sake of show si kutakuwa na chaos?!
 
Kama mtu ni mzembe, ni mzembe tu. Wazungu wanamsemo wao; let's call a spade a spade. Kama mimi ningekuwa mkuu wa mkoa, kwenye hiyo mikutano ningekwenda na "fimbo". Watumishi kama hao ni wa kucharaza viboko tu mbele ya hadhara.
Aaaargh! Inakera sana, uzembe umezidi sana kwenye nchi hii. It's too much!
Nimeipenda sana hii. .
 
Wadanganyika tulivyokuwa wasahaulifu kama sio wambulula, huyo huyo ndiye anaalikwa kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli ya kuenzi wanawake. wakati mwingine huwa ninafikiri wadanganyika acha tupate tunachokipata - ni haki yetu!
 
Back
Top Bottom