RC Makonda aongoza mkutano wa wachezaji wa Taifa stars na wadau wa michezo Cairo, awapa salam za Rais Magufuli

Nina kila sababu ya kuishangilia stars. Tukipigwa nitashangilia, tukipiga nitashangilia zaidi.
 
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amekutana na wachezaji wa Taifa stars na wadau wa michezo walioambatana na timu nchini Misri.

RC Makonda amewapa salamu kutoka kwa Rais Magufuli na kuwaahidi kuwa taifa zima liko pamoja nao. Kadhalika amewataka watanzania kuwa na mawazo chanya juu ya timu yetu ya taifa.

Viongozi mbali mbali wa wizara ya michezo na serikali kwa ujumla wapo Cairo kuhakikisha Kenya anapata kipigo cha mbwa koko.

Source TBC habari
Maendeleo hayana vyama!!
Ushindi wa Taifa Star leo utakuwa ushindi mkubwa kwa Paul Makonda kisiasa
 
Wewe ni MTANZANIA kweli? KAMA NDIO TUNA WATU WA AJABU MIONGONI MWETU. TUTASONGA MBELE TU TARATIBU
mimi ni Mtanzania halisi ninayechukizwa na kitendo cha wahalifu kushika madaraka makubwa nchini mwangu.
 
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amekutana na wachezaji wa Taifa stars na wadau wa michezo walioambatana na timu nchini Misri.

RC Makonda amewapa salamu kutoka kwa Rais Magufuli na kuwaahidi kuwa taifa zima liko pamoja nao. Kadhalika amewataka watanzania kuwa na mawazo chanya juu ya timu yetu ya taifa.

Viongozi mbali mbali wa wizara ya michezo na serikali kwa ujumla wapo Cairo kuhakikisha Kenya anapata kipigo cha mbwa koko.

Source TBC habari
Maendeleo hayana vyama!!
Amen na tuwachape haswa....God bless Taifa stars.
 
Huyo ameenda kutafuta sifa tu kwa kuwa kesho tunawafunga Wakenya. Kufungwa kwa Wakenya hakutatokana na sababu ya yeye kwenda huko bali ni juhudi za wachezaji. Lakini ataubeba ushindi mabegani kwake kama yeye ndio chachu ya ushindi. Hata kama asingeenda, kesho Kenya wanapigwa 2 NIL

Mara paap stars inashinda
Loooh
Go go Taifa Star. Kesho ushindi ni wetu. Tutashinda bao moja kwa zero.
Kila laheri Star's! Viva Tanzania 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿! Muhimu Stars ishinde hayo mengine yatafuata baadae.
 
Back
Top Bottom