RC Makonda anatumia msafara wa magari zaidi ya 35

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,782
Kama upuuzi wa kiwango cha kusikitisha ni wa Makonda jioni ya leo akiwa kwenye kitu kinachoitwa ziara ya kusikiliza kero za wananchi.

Nikiwa niko Jof pub njia ya Ubungo Maziwa nilishuhudia msafara wa magari yasiyopungua 35 yakiwemo ya jeshi la polisi trafiki na FFU yote yakiwa full loaded.

Gari nyingine zote hazikupungua watu wane! Hakukuwa na gari ndogo hata moja VX V8 zilikuwa tano! Shangilieni huu upuuzi lakini mjue hiki kiama ni chetu sote....
 
Duh! mukulu haoni hili..? au anaacha jipu liive!

Mgema akisifiwa na walevi wenzie tembo ulitia maji

Wote ndio wale wale, Hawa ndio wapambe wa Mukulu!

Kama unavyojua Mukulu hataki washauri yeye ameshikana na wapambe tu!

au ndo maandalizi ya mwaka 2025!
Nataka nione mwisho wa huu mchezo! Lakini ni wazi sasa huko tunakoenda siko kabisa. ...upole tulio nao Mungu azidi kututia nguvu ila siku kikinuka....!!!
 
Kama kama upuuzi wa kiwango cha kusikitisha ni wa makonda jioni ya leo akiwa kwenye kitu kinachoitwa ziara ya kusikiliza kero za wananchi
Nikiwa niko Jof pub njia ya ubungo maziwa nilishuhudia msafara wa magari yasiyopungua 35 yakiwemo ya jeshi la polisi trafiki na ffu yote yakiwa full loaded.

Gari nyingine zote hazikupungua watu wane!hakukuwa na gari ndogo hata moja VX V8 zilikuwa tano! Shangilieni huu upuuzi lakini mjue hiki kiama ni chetu sote....
Tatizo ni magari au mikutano?
 
Wabunge na madiwani wamenyamaza acha afanye siasa ha ha ha si hana kazi
 
Back
Top Bottom