Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Hii ni habari katika ukurasa wa mbele wa gazeti la TanzaniaDaima la siku ya leo tarehe 30/03/2017.
Gazeti la Tanzania Daima limedokezwa kuwa mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifika mbele ya kamati ya bunge jana akiwa tayari ameandika barua kwa Spika wa Bunge Job Ndungai ya kuomba radhi kwa kauli za kuwakejeli wabunge.
My take:
Kama ni kweli,anaombaje radhi kabla hata Bunge zima halijafanya maamuzi?!
Kama alijua amekosea,kwanini hakuliomba radhi Bunge mapema tu badala ya kusubiri mpaka Bunge lifikie hatua ya kumuhoji?