RC Makonda aandaa Iftar kwaajili ya wakazi wa Dar es salaam

Ni jambo la busara kama tutakuwa tuna focus kwa suala la kufuturisha badala ya kukejeli dini,kwani dini zote zipo kwa maana na lengo kuu moja ni amani
Mimi nimeuliza swali tu, sijakejeli dini yoyote ile. Ni vema kama hiyo aya ipo nikaambiwa na kama haipo pia nikaambiwa haipo.
 
....ungeanza na 'aya' inahomruhusu !
Kufuturu ni 'Ibada', sasa ibada ikiendeshwa na Makonda inakuwaje !?
Kama hakuna aya inayoruhusu wala aya inayokataza, basi lolote litakalofanyika ni sawa tu na wala hakuna dhambi yoyote. Dhambi hutokea pale kitabu kitukufu kinapokiukwa.
 
Kama hakuna aya inayoruhusu wala aya inayokataza, basi lolote litakalofanyika ni sawa tu na wala hakuna dhambi yoyote. Dhambi hutokea pale kitabu kitukufu kinapokiukwa.
Hiyo ni 'fatwa' ya Sheikh gani !? Uislaam haufuati maoni
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom