RC Makonda aagiza Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kutopewa mradi wowote ndani ya Dar

Via kwa mpalange unaizungumzia hiyo bila Shaka mkuu
I dnt know,sema kuna mahali wanashuka watu wengi sana pale Mwanagati kati toka Tandika-Buza wanaendelea kwenda ndani zaidi ukiangalia mbele unaisoma mbagala pale.
Ni miundo mbinu tu pale itumike,lami mpk kitunda iko poa tu
 
Ali mradi Afrika ni ushenzini tu kwa kweli. Hapo unaweza kukuta serikali ndiyo washenzi kuchelewesha pesa kwa wakandarasi. Au vilevile unaweza kukuta wakandarasi ndiyo vimeo wababaishaji. Ali mradi waafrika hatuna tuliwezalo.
 
Hawa Nyanza walifanya kazi nzuri Sana pale Dodoma wakajenga jina, baada ya hapo miradi mingine yote hovyo! Mfano barabara ya Bunda-Kisorya imewashinda kabisa!
Mkuu tajiri mwenye kampuni nadhani alifariki Sasa Hawa waliobaki naona linawashinda, pia mzee aliajiri taliano Fulani ndio waliokuwa wanapiga kazi, Sasa sijui walishaondoka
 
Safi sana wapuuzi kabisa hawa. Tunateseka sana tunaotokea njia hiyo kwa uzembe wa hawa wapuuzi na wapumbavu kabisa hawa
Kabla hujatukana una uzoefu na sekta ya ujenzi hasa miradi ya wakandarasi? Una uhakika gani kuchelewa kwake ni kutokana na kulewa kwa malipo? Atafanyaje kazi na hela halipwi kwa wakati?

Tumia akili yako vizuri mkuu sio unatukana tu.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewapiga marufuku Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kuipa mradi wowote Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza ndani ya mkoa wa Dar

RC Makonda ametoa maagizo hayo baada ya Kampuni hiyo kutumia miezi 12 kujenga Barabara ya Kilometa 3.2 ya Kitunda-Kivule ya kiwango cha lami

Hata hivyo, baada ya kulala rumande siku moja hatimaye Mkandarasi wa kampuni ya Nyanza ameanza ujenzi wa barabara hiyo ambapo RC Makonda amesema utakuwa mradi wake wa mwisho ndani ya Dar
Au hongo imegomeka
 
Kuna barabara ya kilomita moja tabata Kimanga imejengwa kwa miaka mitatu na bado haijaisha!!!
 
Nyanza road works kwa Kampuni za kizawa inaweza kuwa nda kampuni bora ya ujenzi wa barabara
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewapiga marufuku Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kuipa mradi wowote Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza ndani ya mkoa wa Dar

RC Makonda ametoa maagizo hayo baada ya Kampuni hiyo kutumia miezi 12 kujenga Barabara ya Kilometa 3.2 ya Kitunda-Kivule ya kiwango cha lami

Hata hivyo, baada ya kulala rumande siku moja hatimaye Mkandarasi wa kampuni ya Nyanza ameanza ujenzi wa barabara hiyo ambapo RC Makonda amesema utakuwa mradi wake wa mwisho ndani ya Dar
Si nasikia kuna bodi inaitwa CRB na ERB wako wapi?
 
Barabara za Dodoma kuna nyingine walijenga hao Nyanza ni kanyaga boya kabisa. Mashimo kwa sana.
 
Back
Top Bottom