RC Makalla: Wamachinga kwa asilimia kubwa wameanza kuhamia maeneo mapya tuliyowapangia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Makalla amesema Wamachinga wengi wameanza kuhamia kwenye maeneo mapya waliyopangiwa na serikali.

Makala amesema hakuna mmachinga atakayeachwa afanye biashara sehemu isiyoruhusiwa.

Kinondoni na Temeke zinaongoza kwa wamachinga wake kuitikia wito wa serikali kwa wakati, Jumatatu ndio siku ya mwisho.

Source: ITV habari
 
Wameondoka mji umepumua, ufuatiliaji uwe makini vinginevyo taratibu wataanza kurudi mijini.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Makalla amesema Wamachinga wengi wameanza kuhamia kwenye maeneo mapya waliyopangiwa na serikali.

Makala amesema hakuna mmachinga atakayeachwa afanye biashara sehemu isiyoruhusiwa.

Kinondoni na Temeke zinaongoza kwa wamachinga wake kuitikia wito wa serikali kwa wakati, Jumatatu ndio siku ya mwisho.

Source: ITV habari
Machinga wote wa Kinondoni wamehamia Bunju Mwisho na biashara imeshamiri kwelikweli
 
Back
Top Bottom