RC Makala, Tunakujulisha kuwa fidia hazijalipwa Sinza

Benderea

Member
May 25, 2021
96
208
Zile fidia ulizowaelekeza TARURA-DMDP Kinondoni kwa ajili ya wakazi wa Sinza wawe wamelipa mpakaJumatatu ilopita 31/5/21 mpaka leo hii hizo pesa za fidia hawajalipa.

Mkuu fuatilia hawa watu hapa kuna sintofahamu kwa sababu taarifa tulizo pata ni kuwa zile pesa za fidia zilihamishwa toka Manispaa ya Kinondoni kwenda TARUA-DMDP.

Sasa kwa nini wanasuasua kulipa.Tunakuomba mheshimiwa fuatilia hili suala isije iakawa unapigwa changala macho labda pesa zishaliwa
 
Mtakuwa mmeifata barabara na miundo mbinu yake, hivyo hakuna fidia, maana Sinza ilikuwa na master plan yake
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom