RC Makala: Rais Samia ametoa Tsh 100 milioni kuboresha soko la Machinga Complex, kutazungushwa bati na meza za kisasa

uzio wa mabati na meza za kisasa 100M?

Machinga complex wafanyabiashara hawapataki wateja wakibongo wanatabia ya uvivu hawatapanda lile gorofa..
Hiyo pesa hata kufanyia usafi tu kuondoa majivu haitoshi. Wanatuona sisi wajinga sana. Ama ndio kweli hazina haina kitu?
 
Wauze bei za machinga watapata wateja wasiuze kama bei za kinondoni
Mkuu wale wa sokoni kariakoo sio wamachinga hao ni WAJASILIAMALI, Wamachinga hutembea na biashara zao majumbani, stand za mabasi na daladala.
Hilo jengo la machinga complex ni vyema likaitwa WAJASILIAMALI COMPLEX maana wamachinga hahitaji eneo la biashara.
 
Back
Top Bottom