Ndugu zangu kiukweli mimi siyo Muislam Ila Walah RC Kunenge amenigusa sana yaani kama kuna RC nimetokea kumpenda basi ni huyu RC mpya wa DSM. Ni kama aliandaliwa, ni kama alikuwa amewekwa mahali kwa kazi maalum.
Kwanza hii sio nafasi yake ya kwanza kuwa kiongozi Ila huwezi jua wala huwezi amini amepita magumu mangapi na kamwe hajawahi fanya hata fyooo jamaa ni mkimya na anapenda tabasam au hana makuu masikini ya Mungu. Muda wa kanzu anavaa kanzu muda wa kuvaa t shirt anavaa T-Shirt haitaji ulinzi wa kutisha au kama Rais anavyolindwa Rais akivaa suti yeye anavaa shati na suruali na Tai the guy is down to earth.
Mkuu wa wilaya anayekuwa na masham sham na vibe ya jamaa aliyetoka anaku-support Ila anakuja na nguo mpauko wewe umevaa suti kazi kweli kweli.
Nadhani Yule Bwana anaitwa Mpagazi anahitaji kututengenezea documentary fupi ya Kunenge na maisha yake.
Ananifurahisha na ninamuona kama kiongozi mkubwa ajaye ktk siku za mbeleni. Unapewa ukuu wa wilaya tu unagombana na kila mtu ofisini huo ni uchizi au ukalume kenge?
Embu tujifunzeni Kwa huyu mkuu wa mkoa mpya wa DSm let us be humbled