#COVID19 RC Kunenge aonesha wasiwasi dozi 15,000 za Uviko-19 ambazo hazijatumika zinaweza ku expire kama hazitatumika. Aweka mikakati ya kuhakikisha zinatumika

Kwani haya machanjo ukichoma zaidi ya moja yana madhara? Si viongozi wachomane yote yaliyobaki kabla hayaja expire ikawa hasara kwa Taifa
Haina madhara ndio maana wazanzibar waliyochoma chanjo ya mchina wameletewa na chanjo ya J&J wachome tena ili waweze kwenda Saudia.
 
Comments za hili bandiko zinachekesha 😂🤣!.

Ila daa ukweli yule baba Legendary Pombe acha kabisa aseee, hii issue ya covid aliiweza hasa 😂, yaani 30kl dose for wananchi more than 8mil waliochanja 15kl asee 🥲, nasikitika upande wa pili nacheka.

Wananchi wanaona ni uzinguaji tu hizo chanjo labda jeshi lipite nyumba jwa nyumba kuwachoma, vinginevyo inashangaza sana.

Mfano;
Mawaziri wapo zaidi ya 12x3
Manaibu wapo zaidi ya 20x3
Katibu mkuu wapo zaidi 20x3
Wakurugenzi 50x3
Wakuu wa mikoa 54x3

Hapo sijaweka wale wanaopewa kipaumbele as wahudumu wa afya nchi nzima, chanjo zingekwisha ila nao wanaogopa kuchomwa kisa watakosa kizazi 😂🤣.
 
Kuna comments huwa nazisoma halafu najiuliza hivi Mungu aliyetupa ubongo/brain sawa na races nyingine kama wazungu, wachina, Wahindi etc ni wa kulaumiwa kweli? Profesa wa genetics aitwaye Witson aliwahi kuandika kwenye moja ya machapisho yake kwamba of all races in the world Waafrika ndiyo the most inferior, mwanzoni nilimchukia sana huyu bwana but kila ninapoona watu kama mleta comments na wengine wengi tuu, naanza kuona kwamba huyu profesa anaweza kuwa sahihi.
Si kwamba Waafrika ni inferior watu wanasema hali ilvyo huko mitaani Kuna misongamano mikubwa sana lakini chukulia mahabusu za Polisi na Magereza misongamano haielezeki mbona hakuna takwimu za vifo kutokea huko? Hili jambo lina utata sana usikimbilie tu kutuhukumu
 
Pwani UKIMWI wenyewe hauogopwi watu wanacheza vigodoro mpaka asubuhi kusasambua juu. Itakua COVID ?
Nenda sehemu Kama MONEY RO MANGO Kama utakuta mtu anaejua uwepo wa covid
 
Back
Top Bottom