RC Homela alitaka Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua kali madereva wa serikali wanaoendesha magari hovyo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,873
Mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Homela amelitaka Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua kali sana madereva wa magari ya serikali wanaoendesha magari hovyo.

Homela ametolea mfano wa madereva wa TRA na Tanesco waliosababisha vifo vya wafanyakazi zaidi ya 10 katika ajali mbili tofauti.

Source: ITV habari
 
Back
Top Bottom