RC Happi: Hakuna wa kunitisha, Siku zao zinahesabika! 2020 Mbunge Iringa anatoka CCM

Yeye anadhani kwa kuwa CCM inabebwa na dola, kwa hiyo anadhani kulirejesha kwa CCM jimbo la Iringa mjini ni kazi rahisi.....

Wanyalukolo hawako simple kiasi hicho anachofikiria....

Atatumia Jeshi lake la Polisi, atatumia kila nyenzo ya kidola, lakini atambue kuwa kulirejesha jimbo la Iringa mjini kwa CCM ni sawasawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!
 
Wakuu hamjamuelewa Rc Hapi
Hapo mwenzenu anataka kupandishwa cheo tu
Washajua kucheza na akili ya Jiwe
Unafkiri hawasomi mchezo wanaofanya kina kabudi,kangi na kina waitara,wao hawauoni?
Washafaham weekness ya jiwe‍♂️

Anafaa kuwa waziri gani huyu
 
Mwaka 2015 kwenye maeneo mengi Sana Polisi waligoma au walishindwa kuzuia nguvu ya umma! Ilikua ni funzo lenye Faraja Sana! This time around Kama CCM hawatawapa silaha Green guard basi wajue kuwa ni Polisi wachache Sana watakaowatii!

Kwahio, huyu jamaa asitegemee kufanya muujiza! Kazi Itakua pevu Sana Sana. Tuombe uzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kama hawa wanaojitangaza waziwazi kuwa watafanya uharifu inafaa wawekewe utaratibu kungali mapema.
Huku ni kutangaza waziwazi kuwa anafanya mipango ya hujuma.

Hata kama yeye anazo nyenzo zote, wananchi wakikataa yupo tayari kuleta maafa. Yeye anaona yuko juu ya sheria. Kwa hiyo inabidi kujiuliza kungali mapema, mtu wa namna hiyo atazuiwa vipi asilete maafa kwa wananchi?

Kuwa mtawala hakutoi liseni ya kufanya uhalifu!
 
Ndipo tatizo lilipo watu wanaposema hizi nafasi za wakuu wa mikoa, wilaya na administration za serikari sio za kupeana wana Lumumba.

Viongozi wa aina hii ambao wamekulia katika siasa ndivyo pia wanavyoziendesha serikari zao, kwa mtindo wa siasa za majukwaa kama vile wanafanya political campaigns, kujifanya wanasikiliza kero na kulaumu wengine as politicians always do.

Mkuu wa mkoa kama anataka ufanisi zaidi kwanini asitengeneze vitambulisho vyenye picha na jina la kila mfanyakazi at front line services, kwanini usitake kuona kila mfanyakazi anapo muhudumia mwananchi anatoa risiti yenye jina lake na tarehe, kusudi mwananchi ajue alihudumiiwa na nani.

Kama lengo ni kufanya research ya quality za huduma kwanini usiweke questionnaire survey na box ambalo funguo zipo kwa mkuu mkoa kila mwezi watu wazifuate wafanyie majumuisho ya concerns na ujue nini cha kufanya, ujue nani jina lake kila mara linajirudia uone kama ni mtu au utamaduni wa hiyo office iwapo majina ni mengi, upate picha kwa kiwango gani wananchi wanaridhika maana ukute wengi wapo happy kuliko walalamikaji etc uweze kujua tatizo ni HR, management or both.

Story ni ndefu

Huyo mtu anaewasema watendaji ni watu wasio na uwezo yeye mwenyewe hajui ata namna ya kufanya trouble shooting kuongeza ufanisi zaidi ya kutumia hela za walipa kodi ovyo kuzunguka after that hakuna measures zozote zitakazofuata kutatua hizo kero; upuuzi wa namna hii ya mikutano ya hadhara ni waste of taxpayers money.
 
Back
Top Bottom