RC Dodoma Dkt. Binilith Mahenge hajafikisha umri wa kustaafu kweli?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wakuu poleni na majukumu. Mambo ni mengi , muda ni mchache sana.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge ni kama umri umemtupa sana wa kuendelea kuwa Mtumishi wa Umma. Hajafikisha umri wa kustaafu kweli jamani?

Mbona kama kachoka sana huyu mzee?

Mama Samia tunakuomba utuletee RC Dodoma mwenye nguvu na mawazo chanya ya kukimbizana na maendeleo kama ilivyo kwa wenzetu wa Simiyu , Iringa , Mbeya na Katavi.

Huyu mzee apumzike tu aisee dah!

20210413_183236.jpg
 
Toka ameanza kuwa Mkuu wa mkoa wa Dodoma umesikia dosari zozote katika utendaji wake? Je unaweza kumfananisha na BASHITE alivyokuwa RC Dar es Salaam au Chalamila wa Mbeya?

What matters ni performance ya mtu na mvi kichwani sio alama ya kuchoka!! Uongozi wahitaji busara na huyu bwana anazo, ama sivyo asingeendana na marehemu Jiwe!!
 
Wakuu poleni na majukumu. Mambo ni mengi , muda ni mchache sana.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge ni kama umri umemtupa sana wa kuendelea kuwa Mtumishi wa Umma. Hajafikisha umri wa kustaafu kweli jamani?....
1962 Bado kijana bado sana
 
Iyo nafasi aliyokuwa nayo ni ya kuteuliwa uelewe ilo,raisi anaweza akakuchagua hata ukiwa na miaka 65 ama 70 uelewe ilo
 
Kuliko kuwa na viongozi wa standard ya wakina Happy na Chalamila bora Mahenge mara mia. Umahiri katika wake katika utendaji unaonekana sio wengine wanageuza ofisi za serikali ni maeneo ya kusifu na kuabudu

Msifananishe vitu vya ukweli na mizengwe. Huyu ni tunu ya uongozi na pia ni darasa kwa wenye kutaka uzoefu.
 
Mleta mada una ulemavu mkubwa sana wa kufikiri na kuchanganua mambo

Kama kuna jukwaa la Great thinkers basi pía Ifike hatua sasa Mods waanzishe jukwaa la 'fikra finyu' kwa ajili ya mada kama hizi 😀
 
Huyu in mamvi tu kama Lowasa, unajua hata Eddo ni mdogo kwa baba Ridhi1?! Mkitaka kijana mtaletewa Olesabaya wa Hai!
 
Huyu RC ni mzigo sana.

Hakuna cha maana anachokifanya hapa Dodoma.

Ma barabara ya mitaa yanajaa mimaji YUPO YUPO TU.

SOKONI UCHAFU UMEJAA.
DODOMA NI JIJI CHAFU
 
Back
Top Bottom