RC Chalamila: Nahitaji Busara Kuuongoza Mkoa wa Mwanza

Serikali ya hayati magufuli ilijaa watu waajabu sana akiwemo mwendazake
Hivi mtu kama huyu ana background gani huko nyuma?

Yaani kapitaje pitaje mpaka mamlaka za uteuzi zikaanza kumteua.
 
Ccm wote ni wahuni tu, hata kubaki kwao madarakani ni kwa sababu ya uhuni waliofanya kwenye uchafuzi mkuu 2020 maana haukuwa uchaguzi ule.

Sio tu huyu Rc mlevi anayetakiwa kutokuwepo madarakani, ni ccm wote kuanzia mkubwa mpaka mdogo wa chini kabisa
 
Mods kwanini mmebadilisha heading yangu? Headinga yangu ilikuwa inasomeka hivi "KUMBE WALIKUWA WANAJUA WANAONGOZA BILA HEKIMA/BUSARA"
Unaweza kukuta wateule kwenye"GROUP" lao la "WHATSAPP" wengi wao hawakutegemea kuwepo kwenye mkeka wa awamu ya 6,maana wengi wao walinyanyasa,walidhalilisha na kuvunja sheria,kanuni na taratibu kwa "kutengeneza kiki" wakiwaharibia wengine fursa kwa fitna na dhuluma ya haki za msingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom