RC Antony Mtaka kumsema Waziri mbele watoto umekosea. Kama watoto wakimdharau, watamheshimu nani?

Sijasoma hata content lakini heading inatosha! Samia anapaswa amchukulie hatua huyo Mkuu Wa Mkoa! Asipofanya hivyo heshima ya mawaziri itapungua. Kuna namna ya kupinga sio kwa kebehi mbele ya watu. Halafu Mkuu wa mkoa ana uhakika wazazi wote wana hela ya tuition. Badala ya kuangaika na walimu wa Dodoma wasioingia darasani anahangaika na waziri!

 
Back
Top Bottom