RC Anna Mghwira na Jerry Muro waongoza waombolezaji mapokezi ya mwili wa Dr Mengi uwanja wa KIA

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,816
141,719
Mwili wa Dr Mengi umewasili katika uwanja wa KIA kwa ndege ya Precision Air.

RC Makonda ni miongoni mwa viongozi wa serikali aliyeongozana na wanafamilia kutoka Dsm na Jerry Muro anaongoza mapokezi hapo uwanjani.

Source Clouds tv mubashara
 
Hivi Kilimanjaro hakuna viongozi mpaka watoke mamluki mikoa mingine , au ni kiherehere tu na kutafuta sifa ?
 
Back
Top Bottom