RC Ally Hapi amemsimamisha kazi na kumtupa rumande saa 48 Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Iringa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Mkuu Wa Mkoa Wa Iringa Ally Hapi Amemsimamisha Kazi Na Kumtupa Rumande Saa 48 Afisa Ustawi Wa Jamii Wa Manispaa Ya Iringa Bw. Sitta Kwa KOSA La Kuwaambia Chama Cha Viziwi Kuwa Manispaa Hiyo Haiwezi Kuwasaidia Kwasasa Kwasababu Fedha Nyingi Zimetumika Kwenye Ziara Za Mkuu Wa Mkoa
 
Hahahahah mbuzi wa kafara oohhhhh nilimsikiliza jana kwenye jungu kuu kwenye tibisii ukweli na propaganda.

Wale wakandarasi wanaojenga machinjio ya kisasa Iringa walimwambia wanataka 1.3 bilion. Kilichofuata akawaambia wapate mil. 300 hiyo bilion haitoki. Sasa cha ajabu utashangaa machinjio baada ya mwaka ishaanza kuwa mbovu kisa siasa.

Sishangai sana ndo maana tunakuwa maskini sisi watz maana wanasiana wanamaamuzi yasiyokuwa na akili. Ni kama meli ya mv. Bukoba ilipopinduka watu walikuwa wanapiga kelele waokolewe, sasa kuna kada mmoja akatoa amri meli itobolewe. Kutobolewa ndo ikazama mazima. Hauwezi kuwa mwanasiasa ukajua kila kitu
 
Hao maDC na maRC mbona wanatumia vibaya hayo madaraka waliyopewa??
 
Mnatumia pesa bila mpaka mnamaliza mfuko wote, mknategemea yeye atazipata wapi?

Nyie endeleeni kununua wabunge tu na kutumia pesa kwa mkuu wa mkoa mkiwaacha wananchi bila kitu.

Na kwa taarifa yenu kwa Msigwa mtafungua pochi kiasi haijawahi kutokea, sijui mtabakiwa na nini?
 
Mkuu Wa Mkoa Wa Iringa Ally Hapi Amemsimamisha Kazi Na Kumtupa Rumande Saa 48 Afisa Ustawi Wa Jamii Wa Manispaa Ya Iringa Bw. Sitta Kwa KOSA La Kuwaambia Chama Cha Viziwi Kuwa Manispaa Hiyo Haiwezi Kuwasaidia Kwasasa Kwasababu Fedha Nyingi Zimetumika Kwenye Ziara Za Mkuu Wa Mkoa
Hahahaaa pole sana Afisa Ustawi najua kosa lako ni kusema ukweli.
 
Hahahahah mbuzi wa kafara oohhhhh nilimsikiliza jana kwenye jungu kuu kwenye tibisii ukweli na propaganda.

Wale wakandarasi wanaojenga machinjio ya kisasa Iringa walimwambia wanataka 1.3 bilion. Kilichofuata akawaambia wapate mil. 300 hiyo bilion haitoki. Sasa cha ajabu utashangaa machinjio baada ya mwaka ishaanza kuwa mbovu kisa siasa.

Sishangai sana ndo maana tunakuwa maskini sisi watz maana wanasiana wanamaamuzi yasiyokuwa na akili. Ni kama meli ya mv. Bukoba ilipopinduka watu walikuwa wanapiga kelele waokolewe, sasa kuna kada mmoja akatoa amri meli itobolewe. Kutobolewa ndo ikazama mazima. Hauwezi kuwa mwanasiasa ukajua kila kitu
Hiyo mkandarasi atakuwa Chadema!
 
Back
Top Bottom