Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

Namkubali Sana Ngwear , kuna boya hapo juu kasema albam ya Ngwear ndo albam Bora sjui anatumia kigezo kipi , kuna albam kama za akina Prof jizze , album Bora kabisa , akina sir nature n.k .... Ngwear yupo overated Sana , labda Kwa vile ameshuka kaburin .....

Kumuita Rayvanny taka taka against Ngwear ni matumizi mabaya ya akili , tafuteni msanii mwingine wa kumfanya Rayvanny awe takataka na sio Ngwear ......
 
Umeanza kuufutilia muziki siku hizi ndio maana unasema hivyuo,
Nahisi humjui wewe ngwear na hujawahi kumsikiliza
 
naona wewe umemjua Albert kipindi ameshafariki, Ila kwa mimi nilie mshuhudia anatoka mpaka anapotea siwezi andika ujinga huu maana nafsi itanichoma sana
 
Yaan chawa wa WCB wakipewa bundle tyuuh, bas akili zao zinahama. Hivi kweli huyu mnyakyusa anaweza kumfikia ngwair kwa lolote?
Tobaaaah wee, kwan kuna ulazima gan kuwashindanisha au kuwafananisha wasanii wenu na wa nje. Na bado hai match aaaaah
Jamani tumechoka mapambio yenu yasiokua na maana. Msieeeeew.
kifupi ngwear hna mshindani tz, kuna walio jaribu angalau wakina chid benz, nikki mbishi, godzila,lusajo, kado kitengo, nk
 
Vijana punguzeni mahaba...

Kwanza ni irregular comparison...different styles..lakini pia Pengo la Albert halizibwi leo wala kesho..

Huyu Rayvanny mshindanisheni na kina Q. Chief huko..
 
Ngwear mwepesi Sana Kwa Vanboy , sema Tu mziki wa Ngwear na style yake ilipendwa na wahuni wa mtaani , wazururaji na wasio na hili wala lile , wavuta bangi and the like ....apumzike Tu Kwa Amani huko aliko Albert Mangwear....
 
Kumlinganisha Mangwea na huyo dogo ni makosa makubwa sana

Hujamtendea haki mwamba kabisa.
 
Ray Vanny anajua sana kwa kizazi hichi ila Mangwair A. K. A Mimi ni mkali wa vizazi vyote jamaa alikuwa anajua sana ukicheki ngoma kama 120, She Got Gwaan sidhan kama kuna ngoma zitakuwa kali kama hizi
 
Anajua kupangilia mashairi yenye kusikilizika yenye vina mwanzo, kati na mwisho hii inamfanya kuwa msanii bora kwangu kwa wasanii wanaoimba kwa sasa RAY VAN BOY.
 
Ujue mkuu haya maisha haya acha tu, mmoja wa wasanii waliofanya mapinduzi you tube ni soulja boy, yan huyu ndio msanii wa kwanza kwanza kuanza kulipwa na you tube kwa nyimbo zake kukaa kule lakin saivi wenye streams na views nyingi ni kina drake, yan sio kwamba ray vany hajui mziki sio kweli anategemewa pale na kina mondi na yeye mwenyewe anajimudu tuseme ukweli ila pia tujue tu amekuja kipindi cha neema na lenyewe amshukuru mungu tu ila hajamzidi ngwair.., hii ipo sana kwene maisha unaweza ukawa unafanya sana kitu fulan hutoboi, akaja mwingine akafanya kiutofauti kidogo tu lakini kitu kile kile boom kikafumuka kikawa kikubwa unaanza kushangaa mbona na wewe ulikuwa unafanya lakin patupu ? Me kwenye maisha sijawah kumdarau mtu yan kila mtu huwa namwona anapotential, yan me huwa naangalia vitu vyake positive negative siangalii na imenisaidia kwenye maisha.
Salute.
 
Hivi wakati kina Jaydee, Juma Nature, C pwaa waingia tuzo Channel O na nyimbo zao kupigwa MTV Base Ngwair alikuwa wapi?
Tatizo letu watanzania ni wanafki na washirikina sana. Ngwair toka akiwa hai sijawahi sikia anaitwa msanii mkali kutokea Bongo na hajawahi kuwa hata top 5 ya hao wasanii wakali wa kipindi chake.

Tuache unafki wa kujidai tunawapenda sana marehemu, wakati wakiwa hai hawapati sifa hizo.

SIMFANANISHI RAYVAN NA HUYO MAREHEMU, LAKINI KUJIDAI HATUKUBALI UWEZO WA RAYVAN NI KUUKOSEA HESHIMA MUZIKI WA TANZANIA.

Nimalizie kwa kusema MITANO TENA.
You nailed it.
 
Back
Top Bottom