RayVanny badilika...

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,691
5,451
Rayvanny ni moja ya wasanii wa Bongo Fleva wanaokuwa wanafanya vizuri sana kwenye kiwanda chetu cha muziki.

Nakung'ata sikio Ray muziki unaoimba sasahivi unakupoteza, umetoa nyimbo zaidi ya tano hakuna hata moja iliyo hiti hii siyo kawaida yako.

Umepotea kabisa kwenye platform mbalimbali ambazo ulikuwa unakimbiza awali.

Kipaji unacho nguvu unazo kazi kwako kukiendeleza.

1642581154428.png
 
Rayvanny ni moja ya wasanii wa bongofleva waokuwa wanafanya vizuri sana kwenye kiwanda chetu cha muziki.

nakung'ata sikio ray muziki unaoimba sasaivi unakupoteza,umetoa nyimbo zaidi ya tano hakuna hata moja iliyo hiti hii siyo kawaida yako.

UMepotea kabisa kwenye platform mbalimbali ambazo ulikuwa unakimbiza awali, Kipaji unacho nguvu unazo kazi kwako kukiendeleza.
Unamzungumzia Rayvanny yupi
 
Chui ametoa ngoma mpya inaitwa I miss you ft Zuchu kaiskilize ni kali kwa ajili yenu mashabiki oyaa oyaa.

Zile ngoma kwenye ep ya new chui hauwezi kabisa kuzielewa kolo kama wewe zina target market yake.
Pale ka_dem ka dablyu sibii kanapoamua kuwatetea basha zake.
 
Rayvanny ni moja ya wasanii wa bongofleva wanaokuwa wanafanya vizuri sana kwenye kiwanda chetu cha muziki.

Nakung'ata sikio Ray muziki unaoimba sasahivi unakupoteza, umetoa nyimbo zaidi ya tano hakuna hata moja iliyo hiti hii siyo kawaida yako.

Umepotea kabisa kwenye platform mbalimbali ambazo ulikuwa unakimbiza awali.

Kipaji unacho nguvu unazo kazi kwako kukiendeleza.

Uzi wako umevamiwa na timu panya, kazi unayo.
 
Kwa ujumla WCB inahaha. Hata videos zao ziko chini sana siku izi

Back
Top Bottom