Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Mjerumani mjerumaniiiii

IMG_20210218_114110.jpg
 
Sallam sk ni kiboko yake, anamfahamu, hapendag masinichi yule mwamba. Angekuwa rafk yng nahis tungeivana sanaaaaa, hata mm sipendag masinichi ata kidg 🤣🤣🤣🤣
Snitch sio mtu.. maana anauma na kupuliza. Kama Huyo Harmo mavi, anaenda polisi anasaga kunguni ili jamaa awekwe ndani, alafu kanatoka hapo kanaenda kweye media kujiosha, mtu wa hivyo hafai hata kidogo
 
Back
Top Bottom