Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Pfunk amechanganyikiwa yanii yule kwa nje ya nchi nae Mondi anamkata Hapana aisee hili ni pigooo kugongewaa mke mpaka watoto.... na hawawaoii

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
P Funk hata haja changanyikiwa na ndio maana hata polisi hajaenda,kamwachia mama,paula na baba wa kufikia Kondeboy wahangaike na kesi.

Kaamua kukaa pembeni haya yaliyo tokea leo aliya ongea kipindi cha nyuma,kaamua kukaa pembeni.

Yule wa nje P Funk alidai ni biashara aliongea mwenyewe hamna huusiano wowote na Mondi.
 
Sure, ile ilikuwa kama kiki iliyopangwa na Majani na mtoto wake, na alisema account ya mwanae ilipata follower wa kutosha na kujulikana na ndicho alichokuwa analenga
 
Naona Mjomba nchumali, anawanga tu 😀😀
Okwaaa Slowly Hziyech22

20210222_030823.jpg
 
Back
Top Bottom