Rayvanny aonesha uelekeo wa mapenzi yake baada ya kumalizana na Fayhma

Huyu mzungu wenyewe mbona anaonekana kama akili zake haziko sawasawa? Kwanza wa wapi huyu, Bulgaria?

Huyu rayvanny mshamba kwanZa akivaa hapendezi hata hana damu na nguo muone hapo kasimama na mzungu utadhani sio star yaani unaweza hisi kaomba picha kwa mzungu fyuuuuu zake fayhma mtoto mzuri rudi shule achana na wala lips hawa
 
d024a072573e7a1e774f5fc7f0bdd078.jpg

16cfbd58b08185061081951fcbd25b83.jpg
Hiyo mbona kama sanamu
 
Huyu rayvanny mshamba kwanZa akivaa hapendezi hata hana damu na nguo muone hapo kasimama na mzungu utadhani sio star yaani unaweza hisi kaomba picha kwa mzungu fyuuuuu zake fayhma mtoto mzuri rudi shule achana na wala lips hawa

Kweli mkuu, hapa anaonekana mshamba tu na suruali yake kama kabanwa na mavi. Na huyu sijui ana undugu na Saidi Fela, naona wote wana swaga za kizee.
 
Back
Top Bottom