Rayvanny: Almasi pekee iliyobakia WCB

gonamwitu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
703
707
Ahlan wasahlan wanajamvi,

Wazima ninyi? Hopefully wote wazima.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Honestly speaking, Rayvanny ndiyo almasi pekee iliyobakia WCB, kivipi?

Twende kazi...

1. Rayvanny ni msanii ambaye ni 'complete package', ana uwezo wa kuandika kuliko wasanii wote waliobakia WCB; ana uwezo wa kufanya zaidi ya aina moja ya muziki; anaweza kurap; anaweza kuimba nyimbo zote - reggae, dancehall, afro fusion na bongofleva.

2. Rayvanny ni msanii mwenye uwezo wa kutengeneza wimbo mzuri na ukapenya international compared na wale maustadh wawili, Mbosso na mdogo wake Lavalava.

3. Rayvanny ndio msanii pekee WCB ambaye ameweza kuwa nominated kwenye tuzo kubwa ndani na nje ya Afrika na kushinda mojawapo ya tuzo. That means anaeleweka na watu wanapenda muziki wake, even outside of Tanzania.

N.B: Mbosso na ustadh mwenzie Lavalava hawana muziki wa kupenya duniani; hawana ubunifu zaidi wa kufanya muziki wa tofauti compared to Vanny. They are local based artist, so Vanny is the only diamond left in WCB.

"Chegando mi ahora Tanzaniana"
 
Nakuunga mkono kwa asilimia 💯 ingawa Mboso na Lavalava wanafanya vizuri kwenye soko la Tanzania, wameshindwa kujifunza kufanya mziki wa international even though wanakaa pamoja na boss wao. Kama Rayvanny amejifunza vizuri kwa Mond, hawa wanashindwa nini kujifunza, ili ndo jambo linanishangaza.
 
Ktk historia ya Bongo Fleva, hamna nyimbo iliyofanya vizuri ktk digital platforms kama Tetema. Kuanzia Sportfy, Youtube, Itunes nk.

Sportfy pekee yake Rayvanny kasikilizwa mara milion 17. Kwa mujibu wa msanii AT wakati akifanyiwa intvw na Millard Ayo, alisema 1 mil streams sawa $12,000,ukipiga kwa 17 mil sawa na $204,000, bado Itunes, Tidal, Shazam, Youtube nk.
 
Mbosso na Lavalava wameambiwa hawawezi kwenda nje ya nchi kwasababu hawajui kingleza 😂
Kweli au chai? Coz hata Mond first time alikuwa lugha gongana but now analimwaga yai kama Profesa Mukandala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom