Ray Kigosi: Huu ni weupe wa maji (Ununuzi wa maji waongezeka mjini)

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,836
Mabwawa yote ya kuogelea Tz yamejaa, maji kwenye ma bar na vibandani kwa mangi yananunuliwa kwa kasi ya ajabu.

Hii ni baada ya Ray Kigosi kusema weupe wake si wa mkorogo, bali unatokana na kunywa maji mengi tu.

Huyu jamaa sijuwi katumia sayansi gani.
 
Hapa baada ya kusikia hiyo taarifa nimewapigia sim Kisima waniletee kontena la maji na nimetoa oda nyingine walete semi wiki ijayo maana haya ya leo hayatamaliza wiki.

Nataka kua zeruzeru kwa kunywa maji, kwa siku napiga lita 40 za maji, sitaki mchezo kabisa, ikishindikana nahamia baharini ili kwa wiki tatu zijazo niwe zeruzeru kabisa.
 
Huyo hapo bana
 
Attachments

  • 1455799158929.jpg
    1455799158929.jpg
    76.2 KB · Views: 222
Kama ni habari za ukweli basi ningejisemea, 'Kumbe watu wanapenda kuwa weupeee!!!'.
 
Hapa baada ya kusikia hiyo taarifa nimewapigia sim Kisima waniletee kontena la maji na nimetoa oda nyingine walete semi wiki ijayo maana haya ya leo hayatamaliza wiki.

Nataka kua zeruzeru kwa kunywa maji, kwa siku napiga lita 40 za maji, sitaki mchezo kabisa, ikishindikana nahamia baharini ili kwa wiki tatu zijazo niwe zeruzeru kabisa.
Ha ha ha. Shikamoo Maji. Lol! Eti uhamie baharini kabisaaa??
 
naona atakuwa amejiunga na tiba ya za dr.MshanaJR baada ya Mzee Mzizi Mkavu kufulia
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom