Ray C vs Lady Jay Dee vs Enika vs Nandy nani bora katika kilele chake cha usanii?

Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
2,097
2,000
Sasa Nandy hapo anaingiaje

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Pengine tungedadisi umri wa mtoa mada

Jide, Enika, Ray C

Hawa kwa jinisia; muziki wao ufuatwe na wanamuziki na vocalist wenzao kama Ruby na Mau Sama, Nandy ni msanii, usimuweke hilo kundi

H2O ni uhai, H2 au O ni kifo, Nandy ni miongoni mwa H2 au O, Mawing wanalazimisha awe maji ni uhai.
 
Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
2,097
2,000
Toa Enika na Nandy weka Zuchu.
Jina lako halisadifu maoni yako, of all the musician, Zuchu???

Ajaribu taarabu, anaweza kutubamba kama watangulizi wake Kopa na sijui nani nani Khamisi Kidogo, wape vidonge ...gwange mob ni wakali tena hawana mpinzani, 1999/2000 hiyo.

Ila hilo kundi la bila matusi hakuna nyimbo, sanaa yake itaishi kwa wavaa jinsi za kuchanika na kubana chini tu, hawa wakibadilika na kelele zake zimeisha, luckily govt inasaidia kuhakikiasha wajinga hawapungui miaka nenda rudi
 
Mpatuka

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
887
1,000

Kweli wcb Kuna watu wengi mnawaumiza vichwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom