Ray C In More TROUBLE...Thrown Out of REHAB…MUM Needs HELP!!

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Ray+C.jpg

The media has been abuzz lately after the story about former Kenyan based Tanzanian songstress Ray C was released. Ray C whose drug addiction exponentially spiralled in Kenya was some months ago put in rehab.

According to her mother Ray C has been thrown out of rehab in Tanzania for lack of funds. Apparently she needs Sh. 1.5 million to clear bills and have her treated of which she does not have.

She is now appealing to the public, her fans and friends to help her clear the bills and see her back to her feet. In her statement, Ray C's mother told the media that everyone has ran away from them when they most need help.

She also warned the media which has been using her daughter's sorry state to make news to kindly stop taking photos of her at her condition and publishing them.

Ray C was formerly one of the best talents in East Africa with arguably a very beautiful voice and eyes; her last song was Chali wa Nairobi, a collabo with French boy which was a major hit and still enjoying immense airplay.

The Kenyan DAILY POST
 
Mungu atakuwa nae karibu na kumsadia kwenye hayo matatizo yake na namuomba amuonye ili iwe fundisho kwetu isitoshe aje kutu hutubia na kutuonya sisi na vizazi vyetu.
Kwani yeye mwenyezi mungu ndio bingwa wa mabingwa na shujaa wa mashujaa ashindwi na lolote nasi tunakujua na kukuheshimu tunakuomba kwa jambo Tafadhari muonee huruma RAY c NA WENGINE WANAOTESEKA
INSHALLAH
 
Mchuma janga hula na wakwao, nasi hatuna budi kumsaidi. The question is akipona ataacha hayo madawa? Na iwe fundisho kwa makundi yote ya kijamii mmoja mmoja ajue madhara ya madawa ya kulevya. Tukirudi kwenye suala la Ray C watoe namba ya M-PESA.
 
Sasa mbona unajicontradict baba? Hii mambo ya kukimbilia fans hii! Si wana familia? Na huyo mama mjanja mjanja sana, anaongea na media badala ya kutafuta familia ambazo walikula wote good time, saa hizi anarudi kwa fans? Waswahili tunajiendekeza saa zingine. Ana duka kariakoo la nguo, tena anauza ghaali, 1.5 M ya kumsaidia mwanae hana? Seriously!

Niliangalia documentary moja ya kibongo jinsi ambavyo watoto wanakuwa hooked up nilisikitika sana. Wafanyabiashara ya unga wanawapa pipi zenye cocaine bure watoto wa shule. Wakishaanza kudevelop addiction wanaanza kuwauzia. Inabidi kiddo hata kama ni kuiba aibe. Ila innocently anapewa pipi na friend wa mtaani. Na saa zingine anascore kwa kuwaleta wenzie.

Huyu nae inawezekana aliingizwa bila kujijua.

Hivi wakati anayabugia hayo madawa hakuwa anajua madhara yake?
 
So Sad!hivi hawa wanamuziki huwa hawana mafao?
Huyu akipona anaweza kuwa balozi mzuri kukemea utumiaji wa madawa ya kulevya!!
Mama yake anapatikana vipi?
 
i ain't ready to spend a dime on her...watoto wana maigizo sana"lord eyes we can be like bobby and whitney"damnit aje nimbane mapouda mengine..hivi clouds kwa nini wasimsaidie
 
namhurumia mzazi wake sana! i can imageni the pains she is going thru kumuona mtoto wake yupo hivyo! inauma sana!
 
Sasa mbona unajicontradict baba? Hii mambo ya kukimbilia fans hii! Si wana familia? Na huyo mama mjanja mjanja sana, anaongea na media badala ya kutafuta familia ambazo walikula wote good time, saa hizi anarudi kwa fans? Waswahili tunajiendekeza saa zingine. Ana duka kariakoo la nguo, tena anauza ghaali, 1.5 M ya kumsaidia mwanae hana? Seriously!
.
1.5M kenyan money. unaichukulia poa 25M mpaka unaxema mama ake hana?
 
Hivi wakati anayabugia hayo madawa hakuwa anajua madhara yake?

Naweza kuchangia mtu yeyote lakini si aliyejiingiza kwenye madawa ya kulevya! Tena natamani afe kabisa ili mifano hai izidi kupatikana kwa wanaofikiria kuwa hii kitu ni nzuri.
 
Back
Top Bottom