Ray C awafungukia mastaa wanaomponda shoga Caitlyn (Bruce Jenner)

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,379
Baada ya hivi karibuni, staa na mwanamuziki mkongwe nchini, Ray C, kupitia ukurasa wake wa instagram, kupost picha ya baba mlezi wa mwanamitindo maarufu Kim Kardashian, Bruce Jenner (Caitlyn ), ambaye amejibadil jinsia yake na kuwa mwanamke. Staa huyo alianza kumsifia shoga huyo kuwa ni mzuri kuliko ata mke wake, kauli iliyozua utata kwa baadhi ya mastaa na mashabiki wake, wakimlaani staa huyo aliyejinadi kuokoka ivi karibuni kusapoti ushoga wakati anajua ni dhambi.

Ata hivyo staa huyo amewajia juu baadhi ya mashabiki zake na mastaa wenzie na kuwataka kuacha unafki wakati ata apa bongo kuna mashoga ambao ni marafiki wa mastaa wengi apa nchini, msikie Ray C..

"Wabongo bwana!!!! Mnajifanya mnamponda Huyu wakati mashoga mnaishi nao mitaani,tena mnawalipa kabisa waje wasasambue kwenye vibao kata!tena haohao mashoga ndio wanaowataftia mabwana!mashoga ndio makuwadi wakubwa wa Dada zetu mitaani tena kuwapa maxi zaidi mashoga ndio marafiki wakubwa wa mastaa hapa mjini!

Mastaa kibao wanazunguka na mashoga kwenye kumbi za starehe bila hata aibu!humuhumu insta kuna mashoga kibao na wanajulikana na mnawafollow na kuwasifia Niwataje?

Afu mnajifanya mnamponda huyo chakla hapo juu wakati lango la jiji wamejaa tele kwenye taarab ndo usisema!acheni fitna!kama mnapinga hili jambo anzeni kuwapinga wa nyumbani kwanza sio mnamponda MTU aliekuwa dunia nyingine !!!".
 

Attachments

  • 1433751985936.jpg
    1433751985936.jpg
    44.1 KB · Views: 1,679
Ahahah!! Mamaa BITCHES BE LIKE unajua leo nipo off na sitak umbea? Leo nimetulia zangu nyumban tu nasoma biblia, naona umeanza kunichokonoa hasubuhi hasubuhi na umbea, we aya bwna...
 
Kumsifia huyo aliyejibadili ndio kafanya vibaya, ila alivyowachamba hao wengine yuko sahihi.
Ni mtaa gani usiokua na mashoga? Tena ndio wanaongezeka kila siku.Lakini hilo wala hatulioni, zaidi wana warafiki kibao na wanawake wanawapenda kuliko wanawake wenzao!
 
Kumsifia huyo aliyejibadili ndio kafanya vibaya, ila alivyowachamba hao wengine yuko sahihi.
Ni mtaa gani usiokua na mashoga? Tena ndio wanaongezeka kila siku.Lakini hilo wala hatulioni, zaidi wana warafiki kibao na wanawake wanawapenda kuliko wanawake wenzao!

Angewataja bhana hao mastaa, au tumsaidie kuwataja?
 
Suala ni kujaa kwa mashoga nchini au kusifu vitendo vya mashoga na wanaojibadili jinsia? Labda ameanza upya yale mambo
 
Na anavyojua kujishaue yule jamaa, khaa, halafu libaya, limekomaa, wanaomfanya nao wana moyo, nasikia ni kipoozeo cha martin, sijui wanasagana, maana wte ndo wale wale

We martin anabwana ake anaitwa brownster haka ka dani nako nasikia kalihongwa gari na nikakuwadi kawasanii kwel ndo mana wanakapenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom