Ray C arudi

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
23,373
54,755
Msanii yule aliyetamba zamani kwa sauti na madaha ya aina yake arejea kwenye tasnia ya bongo flavour.

Mchana huu wimbo wake wa unanimaliza umetambulisha Cloud Fm.

"Ray C unanimaliza".....kila la kheri katika safari hii mpya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom