"Ray" afumwa na mwanafunzi wakiwa uchi wa mnyama nyumbani kwake

siyo maalum kihivyo
itakuwa waliibiwa picha kwenye simu,
na kupelekwa gazetini,
bongo ukikosea kidogo tu umeliwa.

Nadhani kwa uelewa wangu hiyo habari na picha ray na huyo mchuchu wameamua kufanya kwa makubaliano maalumu yenye ujira maalumu. Si unaona hilo pozi nalo ni maalumu? Au unajifanya hujui pozi la fumanizi lilivyo na umaalumu wake? No sex intercoz there.
 
Kanumba amchukua yule binti na wenzake kwa lengo la kumsaidia na kuimarisha kipaji chake...[/FONT][/COLOR]

Matokeo yake akamgeuza kuwa mpenzi wake, akamharibia ndoto zake za maisha, na hatimaye leo hii ananyea ndoo Rumande.......Hii ni dhambi.Leo hii tunaona RAY naye bado anaendekeza uchafu ule ule.....

NADHANI ANATAFUTA KIFO.NASEMA HIVYO KWA SABABU YALIYO MKUTA STEVEN KANUMBA NI FUNDISHO TOSHA KWA WASANII WA HAPA NCHINI[/QUOTE]

Lulu ananyea ndoo wap? Anakaa sehemu nzuri tu ila siku ya kesi ndo anapelekwa kule kupanda kalandinga.
 
na-doubt huyu jamaa anaweza akawa pacha wake na ray
Kweli kuona picha hatujui hata kusoma hatujui? Hili ni tukio la kweli na huyu bwana sasa hivi ataingia matatani. pamoja na kwamba magazeti ya rangi hayahaminiki lakini hapa kuna ukweli, huyu jamaa ametumia usupastaa wake kumla kinda la shule. tutaona mwisho wake.0
 
Leo hii tunaona RAY naye bado anaendekeza uchafu ule ule.....

Usihadaike mkuu,hii kitu sio kweli mtu hafumaniwi na mtoto wa shule akapozi namna hiyo kwa picha.hii habari aliitoa shigongo no doubt ni katika mwendelezo wa kutafutiza visa auze magazeti yake penginepo ni kwa makubaliano yao na ray mwenyewe

amechukua hatua gan kisheria kuhusu gazeti hilo kama sio kweli?
 
Hao Mastar wa Bongo Sibasi tuu.
Wakuu nyie hamuelewi mpo nyuma ya kioo Mastaa wa Bongo sikuhizi wanatumiwa na Magazeti kufanya Biashara maisha magumu pesa haitoshi, Magazeti yapo zaidi Kibiashara Ray mnaemsema ameshaweka chake mfukoni sisi tunapiga polojo!! Ukiona habari ya kushitua ukanunua basi hapo ndio Magazeti yanatengeneza Pesa, Hiyo ndio Marketing ukisikia.
 
SANI.jpg Magazeti ya udaku wameishikia bango ngoma inakuwa ngumu kwa Ray.
 
Labda kama picha na habari havina uhusiano!
Vina uhusiano, hiyo picha walipiga badala ya kumaliza tendo, Ray kwa akili zake ndogo akakubali kupiga picha na mwanafunzi wakiwa watupu, i think walitumia cm sasa imevuja, itamkosti sana Ray, nitashangaa kama hatapigwa pingu labda kwa vile serikali imejaa wasanii.
 
kheee,we dogo umeshafanya homework?yani umenitafuta kote kusaka comment zangu,lol...sasa bwana mdogo nyaumbu si upeleke umbea wako kule kwani hk jf hauna mashiko na ndo mana hakuna anayeupapatikia,unajaza server zetu bureee.

Una uhakika mimi ni dogo?kajipange kwa hiyo ww ndo unapapatikia ray kufumaniwa?hiyo ndo ajabu?kama ungekua na akil sio ya kuvukia barabara tu ungejua ipi ilipasa kuwa habar kwa sababu tid amehojiwa redion na hii ni udaku usiobalance yaweza kuwa hata promo ya movie mpya!!!vipi bodi imekupa mkopo? manake ndo mliojaa humu na kuita kaka zenu dogo
 
teeh teh teh teh,bodi imenipa mkopo ?wa nini tena?hii ndo imethibitisha udogo wako bali utoto wako,kama wataka jua mie ni dogo kiasi gani?isije ukawa unajibizana na mzazi wako ukalala njaa leo,ooh!,owkey am hapy kuwa hutaleta umbea mwingine teena
 
acha naye aonje huko nyuma ya nondo kama alivyomsweka yule mke ya mthungu.
 
Wakuu nyie hamuelewi mpo nyuma ya kioo Mastaa wa Bongo sikuhizi wanatumiwa na Magazeti kufanya Biashara maisha magumu pesa haitoshi, Magazeti yapo zaidi Kibiashara Ray mnaemsema ameshaweka chake mfukoni sisi tunapiga polojo!! Ukiona habari ya kushitua ukanunua basi hapo ndio Magazeti yanatengeneza Pesa, Hiyo ndio Marketing ukisikia.
wanampa kiasi gani ambacho hajawahi kukishika ukosefu wa upeo tuu...
 
Leo hii tunaona RAY naye bado anaendekeza uchafu ule ule.....

Usihadaike mkuu,hii kitu sio kweli mtu hafumaniwi na mtoto wa shule akapozi namna hiyo kwa picha.hii habari aliitoa shigongo no doubt ni katika mwendelezo wa kutafutiza visa auze magazeti yake penginepo ni kwa makubaliano yao na ray mwenyewe

hence topic closed!!
 
Acha ubishi Mkuu na hii hapa pia ni uongo

[h=3]INAUMA SANA: MWANAFUNZI ALIYEPIGA PICHA ZA NUSU UCHI NA VICENT KIGOSI "RAY" AFUKUZWA SHULE[/h]

INAUMA SANA KUONA JINSI AMBAVYO WASANII WETU WANATUMIA UMAARUFU WAO KUTUHARIBIA WADOGO ZETU........

LEO SITAKUWA MUONGEAJI SANA, ILA NASUBIRIA MZIGO WA TUKIO ZIMA ILI NIUWEKE NA WENGINE WACHANGIE
SAM_4847.JPG
 
Tatizo hawa Bongo movie ni vigumu kujuwa muda gani wanaigiza Sinema zao na ni muda gani wako kiuhalisia. hata Wema tuliambiwa kavishwa pete na dancer wa machozi band, mara tunaoneshwa ana nyumba ya millioni 400, sasa sijui ile nyumba imeishia wapi!!
 
sioni skendo yoyote zaidi ya promo kwa ujio wa filam mpya ya Ray
 
Back
Top Bottom