RAV4 yenye engine code 1AZ - Ushauri

Aika Mndumii

Senior Member
Jan 19, 2013
164
46
Wakuu,
Naomba ushauri kuhusu ubora wa RAV4 yenye ingine code 1AZ . Ni RAV4 ya mwaka 2000. Nitashukuru kupata ushauri kwa mtu mwenye gari ya aina hii au kwa mtu anaezifahamu vizuri.

Natanguliza shukrani.
 
Engine hizi zinasumbua kwa mazingira ya kibongo kutokana na uhafiru wa ubora wa mafuta na ujuzi kidogo wa mafundi wetu tulionao. Ukinunua gari yenye engine 1AZ, siku ukitaka kuiuza utapata shida ya kupata mteja. Na hata kama ukimpata utauza kwa hasara.

Hii ni kutokana na uzoefu wangu binafsi.
 
Mimi Ninayo na nimeitumia kwa zaidi ya miaka miwili bila matatizo yeyote.. Tatizo kubwa ni mafundi wetu wa juakali.. na uchakachhuaji wa mafuta.. Ila inakula mafuta vizuri sana.. very powerfull.. KAMA UKINUNUNUA NA HUNA MPANGO WA KUUZA SI MBAYA.. UKITAKA KUUZA NI KIMBEMBE.. hakikisha ikileta matatizo peleka kwa mafundi wanaoeleweka.. Ukiingiza tu kwa jua kali huna engine tena
 
Mkuu nakushukru sana sana kwa ushauri wako. Nimepata pia ushauri unaofanana na wa kwako kutoka kwa wadau wengine. Kulingana na hali halisi ilivyo na kwa kuzingatia ushauri wa wadau nimeona ni bora nitafute aina nyingie ya gari. Nashukru sana kiongozi.
 
Mimi Ninayo na nimeitumia kwa zaidi ya miaka miwili bila matatizo yeyote.. Tatizo kubwa ni mafundi wetu wa juakali.. na uchakachhuaji wa mafuta.. Ila inakula mafuta vizuri sana.. very powerfull.. KAMA UKINUNUNUA NA HUNA MPANGO WA KUUZA SI MBAYA.. UKITAKA KUUZA NI KIMBEMBE.. hakikisha ikileta matatizo peleka kwa mafundi wanaoeleweka.. Ukiingiza tu kwa jua kali huna engine tena

Nakushukuru sana mkuu kwa ushauri na nimeuzingatia.
 
Engine hizi zinasumbua kwa mazingira ya kibongo kutokana na uhafiru wa ubora wa mafuta na ujuzi kidogo wa mafundi wetu tulionao. Ukinunua gari yenye engine 1AZ, siku ukitaka kuiuza utapata shida ya kupata mteja. Na hata kama ukimpata utauza kwa hasara.

Hii ni kutokana na uzoefu wangu binafsi.

Mkuu nakushuru sana kwa ushauri. Nimepata pia the same advice from other sources. Ubarikiwe mkuu wangu..
 
Back
Top Bottom