Rav4 L Kili time (DMD) Inauzwa TZS. 14m

SaaMbovu

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
4,442
Points
2,000
SaaMbovu

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
4,442 2,000
Anhaa,
Poa.
Nilikua najua 1ZZ = 1800CC = Front Wheel
Na 1AZ = 2000CC = 4WD
Niliwahi kumiliki zote tajwa hapo juu. Sikuwahi kujua kuna 1ZZ yenye 4wd.

Leo nimepata kitu kipya, ahsante Mkuu wangu.
Mie nina Voltz 1ZZ 1794cc na ni 4WD.
Kinachosababisha gari kuwa na 4WD ni gearbox na siyo Engine. Ndivyo ninavyoelewa
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
24,601
Points
2,000
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
24,601 2,000
Mie nina Voltz 1ZZ 1794cc na ni 4WD.
Kinachosababisha gari kuwa na 4WD ni gearbox na siyo Engine. Ndivyo ninavyoelewa
Uko sawa Mkuu,
Lakini nikupe Mfano mmoja, nilianza kua na Kili Time ya CC 2000, engine 1ZZ ya 4WD. Baadae nikaona nibadili engine nitumie 1AZ ya CC 1,800. Ile gearbox ya mwanzo haikufaa kwenye ile engine ya pili so ikabidi nayo nibadili pia.

So ingawa gearbox ndio inayo determine kama ni 4WD au Front Wheel au ivute nyuma lakini engine nayo ina nafasi yake. Si kila engine itakubali kwenye gearbox hata kama gari ni aina moja.

Otherwise tuko Pamoja, 1ZZ ya 4WD kwenye Rav 4 nakiri ndio nimeijulia kwenye huu Uzi
 

Forum statistics

Threads 1,324,583
Members 508,741
Posts 32,167,014
Top