Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,596
- 1,071
Wataalamu wazoefu wa magari naomba mnijuze RAV4 Kili time inapokata mafuta baada ya dakika kadhaa tatizo ni nini.
Asanteni
Asanteni
Daaa mkuu ungefafanua vizuri ingekuwa powa sana.kama mdau alivyo kushauri hapo juu ukisema tuu rav 4 kill time unakosea.maana hiyo body ya kill time imefungwa engine nyingi sana mpaka kuna engine za disel.Wataalamu wazoefu wa magari naomba mnijuze RAV4 Kili time inapokata mafuta baada ya dakika kadhaa tatizo ni nini.
Asanteni
Wewe ni mtaalam. Lakini nifafanulie hapo kwenye MAKIRIKIRI ulimaanisha MAKINIKIA au?Daaa mkuu ungefafanua vizuri ingekuwa powa sana.kama mdau alivyo kushauri hapo juu ukisema tuu rav 4 kill time unakosea.maana hiyo body ya kill time imefungwa engine nyingi sana mpaka kuna engine za disel.
Najaribu kuelezea vizuri inakataje mafuta.kwenye condition gani gari inakata mafuta.speed kubwa au ndogo kwenye folen au unapotaka kusimama?.
Na vipi gari ikiwa silensa inatulia ?au inakuwa na makirikiri?.
Na hapo umejuaje kama inakata mafuta au gari huwa inazimika tuu.
Na huwa tatizo hilo hutokea gari ikiwa ya moto au yabaridi.na ikikata ukiwasha mda huo huo inakuwaje inawakaaa
Asante tumeweka swtch au kipump cha mafuta imepona ilikuwa inazimika baada ya nusu saa hivi na inatumia petrol. Ni ya Uingereza 1Azd. ILa sasa imezua tatizo la taa ya oil kuwaka mfulilizo baada ya kufungua injini. Imebidi niipaki tu. Naomba ushauri Mtaalamu.Daaa mkuu ungefafanua vizuri ingekuwa powa sana.kama mdau alivyo kushauri hapo juu ukisema tuu rav 4 kill time unakosea.maana hiyo body ya kill time imefungwa engine nyingi sana mpaka kuna engine za disel.
Najaribu kuelezea vizuri inakataje mafuta.kwenye condition gani gari inakata mafuta.speed kubwa au ndogo kwenye folen au unapotaka kusimama?.
Na vipi gari ikiwa silensa inatulia ?au inakuwa na makirikiri?.
Na hapo umejuaje kama inakata mafuta au gari huwa inazimika tuu.
Na huwa tatizo hilo hutokea gari ikiwa ya moto au yabaridi.na ikikata ukiwasha mda huo huo inakuwaje inawakaaa
Siyo ALARM unasahau kuigusa baada ya kuwasha gari?Wataalamu wazoefu wa magari naomba mnijuze RAV4 Kili time inapokata mafuta baada ya dakika kadhaa tatizo ni nini.
Asanteni
Asante ni 2000 cc ya Uingereza 1 AZD?Hiyo kilitime yako inatumia engine gani maana kuna zenye 1990cc ambazo no d4 engine na zingine 1800cc ambazo zina 1ZZ engine...but matatizo hayo ni common kwa d4 engines hasa plug zake zikichoka
Asante ni 2000 cc ya Uingereza 1 AZD? Limetibiwa ila lumezuka tatizo lingine la taa ya oil kuwaka mfulilizo. Wameshauri nisiendeshe isije knock . Nishauri please
Hapo kuna mawili laweza kuwa tatizo la umeme au tatizo la machenical.Asante tumeweka swtch au kipump cha mafuta imepona ilikuwa inazimika baada ya nusu saa hivi na inatumia petrol. Ni ya Uingereza 1Azd. ILa sasa imezua tatizo la taa ya oil kuwaka mfulilizo baada ya kufungua injini. Imebidi niipaki tu. Naomba ushauri Mtaalamu.
Asante sana Mkuu kwa utaalamy. Yes ukiwasha engine na kufungua mfuniko wa oil, inarusha oil. Fundi alisema nipaki et oil pump imekufa ama sivyo nikojaribu kuendesha itaknock engine. Hilo la switch ya oil mpaka nimtafute fund umeme kwani sijui ilipo. TxsHapo kuna mawili laweza kuwa tatizo la umeme au tatizo la machenical.
Aidha switch mbovu,au wiring ina short waya unagusa kwenye body.kutambua hilo nenda kwenye switch ya oil na uuchomoe waya wake hatafu weka switch on hapo inatakiwa taa izime kama inaendelea kuwaka basi kuna short mahali..kama itazima basi switch ndio tatizo.
Jambo la pili washa gari fungua mfuniko wa engine angalia kama oil inapanda.kama inapanda basi switch majanga pia.kama haipandi basi oil pump ndio mbovu.
Na kama mlifungua engine na usafi haukuzingatiwa kwenye oil pump au ilifungwa vibaya basi imekufa hiyoo badilisha.
Au engine kama imetumika sana na nichafu jaribu kufanyia usafi ndani ya engine kama kufungua sample na kusafisha strainey
Imeishiwa mafuta mkuu.Wataalamu wazoefu wa magari naomba mnijuze RAV4 Kili time inapokata mafuta baada ya dakika kadhaa tatizo ni nini.
Asanteni
Hiyo ni 1AZ, D4, ni sensor imekufa ya fuel injection, (D4 sio engine ni technology kama turbo ama vvti) ni kua haziendani na mafuta tunayotumia yenye Lower octane 91(yaani ile super, premium na unleaded), itakusumbua kila mara kwakua mafuta ni haya haya
Badili engine weka 1AZ plain(gearbox zinaingiliana) ama 1ZZ Vvti hapa utabadili na control box, pia 3S iliyounganishwa na geabox inakaaAsante Mshauri. Labda niuze wakatekate au nifunge engine ingine. Txs
Asante Mkuu. Naomba unishairi garaji au mafundi watatu wa kuunganisha 3s , 3s nitamudu gharamaBadili engine weka 1AZ plain(gearbox zinaingiliana) ama 1ZZ Vvti hapa utabadili na control box, pia 3S iliyounganishwa na geabox inakaa