Rav 4 old model:Msaada tutani

Aqua

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
1,658
1,226
1446403075-RAV4Old.jpg

Habari wadau,naomba kuelezwa kuna tatizo katika gari Rav 4 old model automatic.Kama uko unaendesha kisha ukibadilisha gear kutoka D kwenda Reverse au R kwenda D kuna mlio kama kishindo unasikika wakati unabadili gear.Naomba kusaidiwa tatizo linaweza kuwa nini na wapi naweza pata msaada kwa Dar.Na kuna muda mwingine kama sijakosea ukiwa unaendesha nadhani speed ikiongezeka unaweza usikia,namanisha kama ni manual inatokea wakati unabadili gear.
Karibuni kwa msaada tafadhari.
 
Humu jukwaani hatuna mafundi wa magari jamani!?uzi masaa matano hakuna msaada why!mkuu tatizo ni gear box,solution ni kununua nyengine kuitengeneza inafaa ila haina guarantee anytime yaweza kubuma.
 
Huo ugonjwa wa rav4 nshauona kwnye rav4 zaidi ya sita na kuna mtu humu alisema ni ac flani ukibadilisha sijui ukaweka za gari kwenye control box linaisha
 
Humu jukwaani hatuna mafundi wa magari jamani!?uzi masaa matano hakuna msaada why!mkuu tatizo ni gear box,solution ni kununua nyengine kuitengeneza inafaa ila haina guarantee anytime yaweza kubuma.
Ok mkuu nashukuru kwa mchango wako nitafanyia kazi.
 
Mkuu huo ugonjwa kwenye hizo rav 4 unazingua sana.mafundi huwa tunauita KIDUKU .kama ni kiduku hapo kazi na hiyo gari ni 4wd or 2wd?? .

Na viduku vya aina nyingi je rpm gari ikiwa sailensa huwa inakuwa kwenye ngapi??

maana kuna kiduku cha silensa.

Hapo mtafute fundi aikague gari yako ili kujua tatizo la ugonjwa ni wapi ndani ya gearbox au nje ya gearbox.lkn kama ingekuwa ni rav 4 kill time hapo ishu huwa inakuwa control box.ni tatizo la kidunia ambalo hata toyota wao wanalifaham kama unakuwa mnunuaji wa kwanza toka kiwandani unatengenezewa buree kbs
 
Akipatikana fundi nami nitamuhitaji maana gari yangu nami hivyo hivyo na nikiwasha lazima niisubiri dakika kadhaa ndio nianze kuondoka la sivyo inajizima .. Sijui ndio mambo ya silensa hayo .. Mafundi jitokezeni mtoe msaada
 
Ok,mkuu gari ni 2wd,gari yenyewe ni mpya kwa maana nimeinunu muda si mrefu kutoka nje.Rpm kwenye silencer iko safi ni about 1,000.Nashukuru kwa ushauri wako nnitaufanyia kazi.
 
Pole mkuu,lakini wanashauri ukiwasha gari uisubilie dakika kadhaa kabla ya kuendesha ili walau engine temperature ifikiwe.Hata kama utataua tatizo hilo bado wataalam wanashauri ukiwasha gari usubili muda kidogo kabla ya kuanza kuendesha.
 
Pole sana. Kwa haraka Anglia diff mounting inaweza kuwa imekatika Raba zake.hata we we mwenyewe unaweza kuangalia kwa kimwambia MTU awe anaweka gia Na wewe uiangalie
 
Kafanyanye service kubwa mkuu, gari ina miaka 15-20 hiyo, weka grease kweny dif, chek shaft na mounting zake
 
POLE SANA MKUU 1, SAFISHA ELECTRONIC PLATE NA UBADILI OIL YA GEAR BOX BASI AU NJOO PM KWA MAELEZO ZAID
 
Ata usiangaike mjomba labda ubadili gear box nzima usije danganywa na awa mafundi wetu kifupi ni kua klm za gear box zimeisha na kupitiliza kugonga lazima kuwepo inaanza kogonga wakati kutoka drive kwenda R then baadae itakuja wakati wa kubadili gear
 
Diff mounting hilo tatizo dogo sana, tena inauzwa chini ya elfu hamisini. Iko kwa nyuma ukichungulia toka nyuma utaiona.
 
Badili gearbox, ndo ugonjwa utaisha. Hiyo huwa ni gearbox inapokuwa imechoka ndo utasikia mlio wakati wa "engaging" na hata wakati inatembea utasikia mlio usio wa kawaida. Huwa hapo tunabadili gearbox maana hizo huwezi change clutch plate kama za manual.
 
1446403075-RAV4Old.jpg

Habari wadau,naomba kuelezwa kuna tatizo katika gari Rav 4 old model automatic.Kama uko unaendesha kisha ukibadilisha gear kutoka D kwenda Reverse au R kwenda D kuna mlio kama kishindo unasikika wakati unabadili gear.Naomba kusaidiwa tatizo linaweza kuwa nini na wapi naweza pata msaada kwa Dar.Na kuna muda mwingine kama sijakosea ukiwa unaendesha nadhani speed ikiongezeka unaweza usikia,namanisha kama ni manual inatokea wakati unabadili gear.
Karibuni kwa msaada tafadhari.
Mara nyingi ni
Pressure kwenye booster ya break inapotea
Gearbox mounting pia ni tatizo
 
Ok,mkuu gari ni 2wd,gari yenyewe ni mpya kwa maana nimeinunu muda si mrefu kutoka nje.Rpm kwenye silencer iko safi ni about 1,000.Nashukuru kwa ushauri wako nnitaufanyia kazi.
Mpya as in brand new?, au mtumba hauna scratch ndio unauita mpya?
 
Badili gearbox, ndo ugonjwa utaisha. Hiyo huwa ni gearbox inapokuwa imechoka ndo utasikia mlio wakati wa "engaging" na hata wakati inatembea utasikia mlio usio wa kawaida. Huwa hapo tunabadili gearbox maana hizo huwezi change clutch plate kama za manual.
mkuu mbona clutch zipo kibao na kila siku gearbox zinaubguza na mafundi wanabadilisha?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom