Mkuu mbona nimesearch sana hii ndinga mitandaoni but nilizoziona ni manual na ziko ulaya na south africa na sio japan kwa maana ya mitandao kama SBT, tradecarview, befoward??Tafuta Suzuki Grand Vitara 2nd Gen zile zinaanzia mwaka 1998 mpaka 2005. Kuna yenye cc1600, japo ni chache saana zenye cc1600. Ila zipo. Zina top speed ya 150kph au 160kph nadhani. Ila ni very capable off road maana zile ni proper 4WD kabisa, zina low range gearbox, sio AWD kama kina Rav4.
View attachment 1097462View attachment 1097463