Rav 4 kilitime inagonga, miguu ya mbele nimebadilisha shockup na stablizer link lakini bado inagonga, naombeni msaada wadau tatizo ni nini?
Inagonga kwenye miguu boss, cjui tatizo litakuwa ni nini.inagonga wapi, engine au huko chini kwenye shock ups???
maana bora igonge huko chini kuliko kwenye engine! kama ulishaicheleweshea service ndo zake hizo,kutafuna piece bearing,kusaga block baada ya chujio kuziba na kuzuia engine kufikiwa na vilainishi,....huwa ni tatizo kubwa sana ambapo lazima ishushwe engine either kubadilisha nilivyovitaja juu au kuweka engine nyingine! anyway omba liwe tatizo la hizo shock ups ila siyo engine utaiona gari chungu
Umeangalia Ball Joints na Tie rod ends Mkuu??Inagonga kwenye miguu boss, cjui tatizo litakuwa ni nini.
mwambie fundi wako acheck steering rack kama ina tatizo lolote maana ikiisha huwa inagongagonga sana na unaweza ukatafuta ugonjwa usioneRav 4 kilitime inagonga, miguu ya mbele nimebadilisha shockup na stablizer link lakini bado inagonga, naombeni msaada wadau tatizo ni nini?
Aisee acha ni kacheck kesho, maana gari haina, raha kabisa.Umeangalia Ball Joints na Tie rod ends Mkuu??
Tairi ya gari inaunganishwa na body na vitu vingiAisee acha ni kacheck kesho, maana gari haina, raha kabisa.
Tairi ya gari inaunganishwa na body na vitu vingi
1.control arms/wishbone-hizi zina bushes,bush zikiisha utasikia matairi yanagonga ukiingia barabara mbovu
2.ball joints-zikichoka gari itagonga ukichelewa zinachomoka...
Hakuna kitu nachukia kama gari ikianza makorokoro ya matengenezo. Mbaya zaidi unakutana na fundi hajui tatizo la gari atakuchaji ufundi na atakwambia na spea za kubadilisha...
Mkuu tatizo lilikuwa nn?mafundi wajinga sana, kuna mahala siku moja fundi mmoja ananiambia tairi inalika upande mmoja afanye allignment yaan gari ilikuwa inakatika viuno kila ikifka speed 120, ilinisumbua karibu mwaka ndio mtaalam mmoja akairudisha katika normal yaan kichefuchefu kweli
Nisaidie kumpata huyu mtaalamu. Nina shida sawa na yako ilivyokuwa.mafundi wajinga sana, kuna mahala siku moja fundi mmoja ananiambia tairi inalika upande mmoja afanye allignment yaan gari ilikuwa inakatika viuno kila ikifka speed 120, ilinisumbua karibu mwaka ndio mtaalam mmoja akairudisha katika normal yaan kichefuchefu kweli
Ahsante kwa elimu umefafanua vizuri...Tairi ya gari inaunganishwa na body na vitu vingi
1.control arms/wishbone-hizi zina bushes,bush zikiisha utasikia matairi yanagonga ukiingia barabara mbovu
2.ball joints-zikichoka gari itagonga ukichelewa zinachomoka...
Prondo uko vizuri mzee baba nakuelewa sana tuuTairi ya gari inaunganishwa na body na vitu vingi
1.control arms/wishbone-hizi zina bushes,bush zikiisha utasikia matairi yanagonga ukiingia barabara mbovu
2.ball joints-zikichoka gari itagonga ukichelewa zinachomoka...