Rav 4 inahitajika

Lamchina

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
240
120
RAV 4 NEW Model inahitajika iwe na cc 1800 kushuka chini
Isiwe na zaidi ya mileage 120,000 kushuka chini
Automatic transmission
Iwe katika hali nzuri
Serius business seller let's communicate even PM in case
 
Weka budget mkuu na more specs, maana kuna siku nlimtafutia mtu gari specs zote sawa, kisha kaja kuikataa kisa ni import from Dubai not Japan! Wakati zote ni sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom